Simba SC ifikirie kumchukua kocha aliyeachwa na TP Mazembe

[emoji122] uko sawa kabisa.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Uliposema Manula ni mzigo nimeamua kuacha hata kufuatilia huu uzi.
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Msimu uliopita alikuwa assistant manager
Sent using Jamii Forums mobile app
 

Nakubaliana na wewe kwamba Mo ni bahili halafu ana dream big. Anawaza kuchukua kombe la Africa wakati hata uhakika wa kufaulu Caf Preliminary Stage hana; ujue huyu jamaaa hayupo serious.

Nakubaliana na wewe kwamba Makocha wanaotafutwa na Mo kupitia madalali wake hauzingatii ubora wa Kocha, unazingati offer itakayotolewa na Kocha. Kama ata offer mshahara kidogo basi huyo ndo anafaa.

historically Kishingo hakuwa na quality za kuifundisha timu iliyocheza Robo Fainali Africa; kwenye historia yake hajawahi kufika huko, hana hiyo experience; anapewa mzigo mkubwa kuliko uwezo wake.

Aidha, kwa upande wa kocha wa Mazembe, it does not pertain to me;

Mihayo ni kocha mzuri sana; shida kubwa ya Mazembe Ina wakongwe na wachezaji wapya ambao bado hawajapata Chemistry ; he needs sometime to reform the club.

Kwanini nasema Mihayo ni Mzuri kwa upande wa Simba;

1. Hakuna tofauti kati ya Kongo na Tanzania katika tasnia ya mpira ingawaje wao wametuzidi kwenye ubora wa ligi yao. Hivyo Mihayo ana understanding kubwa ya nini kifanyike.

2 kwa kuwa Mihayo amekuwa kwa Muda mrefu Kongo katika tasnia ya Mpira, hivyo anaelewa Tone ya Mpira wa Africa na Tanzania kwa ujumla.

Alipokuja kucheza na Simba kwenye Klabu Bingwa; alisema wazi Simba haina uwezo wa kuitoa Mazembe , lakini inajitahidi kwenye kuboresha kiwango chake na kucheza na Mazembe, Simba ipo shulen inajifunza. Kauli kama hiyo inakupa picha gani ?

Nakumbuka Mwinyi yeye alisema Simba kuitoa Mazembe ni tremblement de terre ( tetemeko la ardhi) yaani ni ajabu.

3. Mihayo hapendi show game, anapenda Magoli sana . Hiki ndicho Simba inatakiwa kufanya sasa; wachezaji kama Luis, Kanda, Kagere, Gadiel M, hawa ndio wangekuwa pendekezo lake. Wachezaji Kama Manula, Chama, Ajibu hawa asingewapenda maana wana Hold sana mipira hata kama mmefungwa.

4. Anapenda defence yake iwe poa na anapenda kushambulia harakaharaka. Hiki ndicho simba inakihitaji

5. Anapenda mshahara mkubwa not less than 80M monthly. Can Mo stand for that Na hizo hela zake za mawazo

Ukweli ni kwamba Mo hana uwezo wa kumlipa Mihayo , au makocha bora.

Atakimbilia huko Huko kwa vishingo awalipe mil 7 kwa mwezi.
 
Nimekusoma but bado sijaridhika na uwezo wa Mihayo, achilia mbali issue yake ya mshahara mkubwa, hebu kwanza aende timu nyingine tuone uwezo wake.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nilichokiona ni ushabiki mihayo hawezi kuifundisha Simba na huo uwezo hana kama kaishindwa timu iliyoanzia makundi akiwa na wachezaji wazuri ameshindwa kuivusha ndio aje kuifundisha Simba
 
Nilichokiona ni ushabiki mihayo hawezi kuifundisha Simba na huo uwezo hana kama kaishindwa timu iliyoanzia makundi akiwa na wachezaji wazuri ameshindwa kuivusha ndio aje kuifundisha Simba

Unazungumzia Daraja lingine sana.

Ni sawa na kusema kocha wa Liverpool sio Kocha Mzuri kwa sababu Jana katolea.

Simba ina mpira gani mpaka Mihayo asiweze kuifundisha? Ingekuwa ni timu kubwa ingefundishwa na Kishingo? Kocha asiyekuwa na historia yoyote zaidi ya Failure.

Unawezaje Kusema Mihayo hawezi kufundisha Simba ? eti kisa katolewa Kwenye michuano ya CAF, seriously?

We sema Simba haina uwezo wa kumleta Mihayo; Hamna hizo fedha.
 
Mi naamini Simba kumchukua kishingo walikua wanaamini ni mtu anayehitaji mafanikio na kuijenga cv yake vyema na ndio mana unaona timu inaelekea kuchukua ubingwa ila kwa mihayo nipe mafanikio yake ndani ya TP mazembe tangu awe kocha mkuu japo kwa kifupi tu mana tusiongelee ushabiki tu
 

Kishingo ameikuta Simba inaongooza ligi

! Unajua Kishingo ameanza kufundisha soka la Africa tangu mwaka gani ? Na hajawahi hata kuvuka Kwenye Caf Preliminary Stage; unasemaje ni kocha Mzuri. Mafanikio ya Kocha hupimwa kwa kuifikisha timu katika hatua za juu, period.

Ama kwa Mihayo; ni kocha Mzuri kwa Sababu ameifikisha Mazembe Nusu fainali mwaka jana, akaifikisha Robo Fainali mwaka huu kwa kipindi kifupi alichopewa timu ameweza lu maintain status ya timu kucheza Robo fainali na nusu fainali.

Je kwahistoria fupi ya Kishingo; kwa miaka yake yote aliyofundisha nchi na timu za Africa,, what is his status ya mafanikio ?
 
Nimekwambia hivi kwa Simba kumchukua kishingo ilikuwa ni harali kwa wote wawili haijalishi kishingo hana mafanikio au anayo kocha yoyote anahitaji kujenga cv na ndio mana Simba walimchukua kishingo wakiwa wanajua kwa vyovyote vile ni kocha atakayekuwa na shauku ya mafanikio kama utakumbuka kauli ya Senzo si kwamba hawakuona makocha wenye cv kubwa kuliko kishingo ila walihitaji mtu ambaye anamahitaji kama yao ya kujijenga na ndio mana walimpa timu tatizo letu sie watanzania tunadhani mafanikio yanakuja tu ghafla ila tunasahau kuwa huwezi kufanikiwa kama huna shauku ya mafanikio sasa tungoje ligi iishe tuangalie kishingo atakuwa na malengo gani na timu na sio kusema kishingo si mzuri kuliko mihayo wakati huyo Mihayo anasajili akina ambokile nk halafu anaishia robo fainali ndio useme tumpe timu kama Simba ambayo kwa vyovyote vile tena ataanguka hata ligi kuu kutokana na kariba ya wachezaji
 
Huyo tom sentif sio kocha bwana weee.
 

We jamaa unaongea vitu gani. Kwanini usiseme hakuna hela za kuchukuwa makocha wenye mafanikio.

Eti kwakuwa na yeye anashauku; Acha hizi mambo
 
We jamaa unaongea vitu gani. Kwanini usiseme hakuna hela za kuchukuwa makocha wenye mafanikio.

Eti kwakuwa na yeye anashauku; Acha hizi mambo
Kutokuwa na hela au kuwa na hela kwa Simba sio kila mmoja anajua mana kuna timu haziwalipi makocha wao 82mil ila zilifanya vyema klabu bingwa kingine mimi na ww tupo na tutapeana ushuhuda huyo Mihayo kama atapata Timu kubwa tena kama unavyompa sifa mana pale tunajua alipata kishkaji mana tunampa sifa ambazo hasitahili kupewa
 

Unaweza kutaja hizo timu zilizofika mbali bila kuwa na makocha wazuri wenye mshahara mnene?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…