Simba sc ifungwe, ili mo apunguze kiherehere

Megalodon

JF-Expert Member
Joined
Apr 9, 2021
Posts
3,534
Reaction score
7,866
Mwamwedi bhana anatabia za ajabu, SIMBA ikikaribia kupata zile Bilioni za CAF ndio anajitokeza kwenye media na kusema kapoteza hela nyingi ili kuwatoa wanachama kwenye FOCUS ya Mpunga wa CAF.

Ni kama vile jamaa anakamradi kake SIMBA inapotinga robo fainal. Kuna hela ya makundi na hela ya robo fainal. Ilikuwaziba mdomo anakuja na hadith za kupoteza Bil 51.

Sasa basi ;

Leo SIMBA SC Ifanyiwe kama siku ile pale kwa Ben na hao hao Galaxy .

Naomba kwa Mungu wa Mbinguni SIMBA afungwe goli 4-0 , kiherehere cha muhindi kiishe.

Amen na hii Dua
Ipokelewe katika mbingu zote
 
Mwenye mali yake anaizungumzia wewe usie na uwezo hata wa kununua jezi orijino unalalama huku mitandaoni
 
Sema neno, goal sita nyingi
 
Mwenye mali yake anaizungumzia wewe usie na uwezo hata wa kununua jezi orijino unalalama huku mitandaoni
Shangaa nawee hapo [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…