GENTAMYCINE
JF-Expert Member
- Jul 13, 2013
- 60,660
- 121,325
Hivi unakodi vipi kabisa Ndege kwenda Kucheza Mechi yako ya CAF CL huku ukijitapa kabisa Kushinda na ndani ya Ndege unapandisha Waganga wa Kienyeji 60 kisha unaenda Kufungwa na kuja na sababu za Kitoto na Kipumbavu kuwa Umehujumiwa mara tena sijui Timu bado haijapata Muunganiko wa Wachezaji wake?
Sasa Sifa zote za nini na kama unajua huna Uwezo kwanini tu Hela hiyo ya Kukodi Ndege usisafiri 'Kikawaida' ili Pesa nyingine ukalipie Madeni Dawasco Klabuni Kwako na Kuzibua Vyoo vilivyojaa sana 'Nnya' kutokana na Kocha Mkuu Mwarabu ( Bina ) kupenda Kula Kula hovyo Urojo hadi Kiporo cha Makande na Kujisaidia vyoo vyote vya Klabuni?
Na nyie Makampuni ya Ndege Tanzania siku zingine muwe mnaangalia za Vilabu vya Kukodisha Ndege zenu kama Simba SC, Biashara United FC na Azam FC ila wengine muwe 'mnawachomolea' kama vipi wawe Wanaosafiri kwa Miguu ili wakome, wawe na Adabu na wawe wanashinda Mechi zao za Kimataifa na siyo 'Kuikamia' Simba SC pekee katika NBC Tanzania Premier League sawa?