UsitufokeeHaya tena wana Simba tumepigwa na kibonde Ruvu shooting,safari hii nyumbani kwenye kiwanja kizuri kabisa.
Nasema there is something wrong somewhere siyo bure, timu inayohudumiwa vizuri haiwezi kubali matokeo kama haya mfurulizo, sasa wanaSimba tuzame kwenye mahesabu ili tuibue hizi wrong somewhwre befare Kariakoo debby vinginevyo siku hiyo itabidi tukimbie kulala kwenye mibuyu ili kuficha sura zetu.
SOMETHING WRONG YA KWANZA NI MORRISON:
Kasajiliwa kwa mbwembwe sana tena kwa hera nyingi kawakuta waliokuwa wanafia timu eti wao wameonekana si mali mali ni Morrison, hahika Morrison ni kirusi ameharibu kabisa morale ya timu wafia timu wamepunguza kujituma, acheze yeye Morrison, nakumbuka hii iliwahi kuwakuta hata watani zetu Yanga walipomsajili kwa hela nyingi ELISHA JOHN wachezaji aliowakuta wakawa wanampa pasi zote ELISHA JOHN si yeye ndo kaonekana mchezaji? afunge yeye sasa, Nakumbuka Yanga walikubali yaishe.
SOMETHINGWRONG YA PILI NI HAJI MANALA
Maneno yamekuwa mengi mno, eti mpira biliani what is that, Mpira ni magoli siyo biriani. Baba yake Sunday Ramadhani Manala ndio mchezaji wa kipaji cha juu kabisa kutokea nchi hii ni kwa sababu alikuwa anafunga magoli, tena alikuwa anafunga magoli yanayohitajika kwa wakati mwafaka mfano goli la kuongoza TAIFA CUP Pwani na Morogoro alipangua ngome yote ya Morogoro mpaka kipa. Bao la kusawazisha Club bingwa Afrika Enugu Rangers vs Yanga DSM mwaka 1975. Alipangua ngome yote yenye beki ngumu ya Enugu akampa pasi iliyopimwa kaka yake Kitwana Manala bao la kusawazisha . kazi nzima alifanya Sunday. Bao la kusawazisha Yanga na ACCRA HEATS OF OAK. Wakiwa Yanga wako nyuma bao moja Sunday aliipangua ngome yote ya Accra heats na kusawazisha bao vingenevvvvvyo ilikuwa aibu kwao kwani mechi yenyewe ilikuwa ya kirafiki ambayo Yanga waliiomba sana. Sasa haya Maneno ya mpira biriani Haji anayapata wapi? Si akamwulize baba yake kama mpira ni biriani? . Kwa hiyo msemo huu ufe mala moja tena kuanzia leo.
Nakataa Simba wanajifungusha ili kuwahadaa Yanga ili waone Simba ni mteremko ili wapate ushidndi kwenye Kariakoo dabby . nani alikuambia timu inaweza kujifungisha kwenye ligi ambapo kuna point 3 mhimu? falisafa hiyo ni upuuzi mtupu.
Wewe ni yanga na morrisson bado anakuuma sana yuko simba...Haya tena wana Simba tumepigwa na kibonde Ruvu shooting,safari hii nyumbani kwenye kiwanja kizuri kabisa.

Kwa kifupi unamaanisha wazawa ni bure kabisa...Kiukweli Jonas Mkude kiwango kimeporomoka mguuni ana kigugumizi halafu anapoteza mipira Sana.
Ajibu hatakiwi kubaki Simba Hana msaada, huo ndo ukweli.
Pia ndemla Bora angeanza na mzamiru akaingia baadae,
Kocha anachelewa Sana kufanya substitution.
Mambumbumbu mpo kwenye kikao cha kitchen party, wapuuzi sana ninyi hebu tuondeleeni umbumbumbu wenu humu nendeni kwenye group la mambumbumbu wenzenu mkalielie huko[emoji34]OKW BOBAN SUNZU nilikueleza kipigo anachokipata simba ni sawa na atakachokipata Tundu Lissu. Una mikosi mwaka huu ujue
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]Mnapo fungwa mimi napata furaha sana kwahiyo endeleeni kufungwa
Kwa kifupi unamaanisha wazawa ni bure kabisa...
Sijadili wazawa Wala wageni najadili wachezaji wa Simba sc.Kwa kifupi unamaanisha wazawa ni bure kabisa...
Mkuu ni kweli kabisa...tatizo la kwanza kwa simba liko kwa kiungo mkabaji...mkude ni mzuri wakati timu inashambulia... ndio maana akicheza na fraga Katikati panakuwa imara....kwa sababu fraga ni mkabaji mzuri..Kiukweli Jonas Mkude kiwango kimeporomoka mguuni ana kigugumizi halafu anapoteza mipira Sana.
Ajibu hatakiwi kubaki Simba Hana msaada, huo ndo ukweli.
Pia ndemla Bora angeanza na mzamiru akaingia baadae,
Kocha anachelewa Sana kufanya substitution.
Huo ndo ukweli, fraga hakubali kupitwa kirahisi na physique yake yupo imara kuliko Mkude.Mkuu ni kweli kabisa...tatizo la kwanza kwa simba liko kwa kiungo mkabaji...mkude ni mzuri wakati timu inashambulia... ndio maana akicheza na fraga Katikati panakuwa imara....kwa sababu fraga ni mkabaji mzuri..
Huo ndo ukweli, fraga hakubali kupitwa kirahisi na physique yake yupo imara kuliko Mkude.
Ili Mkude afanye vizuri, lazima kuwepo overlapping ya viungo wakabaji wawili ili asaidiwe kuchezesha viungo washambuliaji na mawinga. Refer enzi za kotei akiwa simba, Mkude alikuwa Bora Zai
Sijui kamati ya usajiri Simba kwa nini hawalioni hili tatizo....Mkude hawezi kucheza nafasi ya kiungo mkabajji.... Na ndio maana wakati wa Kotei... Mkude alipokonywa namba.... Mara nyingi alicheza kama kiungo mshabuliaji...juu ya Kotei...angalia magoli mengi anayofungwa simba...yanapitia Katikati..... ngumu sana kuifunga Simba kupitia pembeni.....Goli la prison liliniuma sana...yaani mchezaji anarushiwa mpira...anatuliza.... anarudi nyuma...anapiga mpira kama vile ni mpira wa adhabu..bila kusumbuliwa na mchezaji yeyeto wa Simba....sijui club bingwa itakuaje.Huo ndo ukweli, fraga hakubali kupitwa kirahisi na physique yake yupo imara kuliko Mkude.
Ili Mkude afanye vizuri, lazima kuwepo overlapping ya viungo wakabaji wawili ili asaidiwe kuchezesha viungo washambuliaji na mawinga. Refer enzi za kotei akiwa simba, Mkude alikuwa Bora Zaidi.
Kucheza kiungo mkabaji lazima uwe offensive katika ukabaji na usikae na Mpira utoe pasi haraka kuwaamsha viungo washambuliaji na mawinga wawe active and faster.Sijui kamati ya usajiri Simba kwa nini hawalioni hili tatizo....Mkude hawezi kucheza nafasi ya kiungo mkabajji.... Na ndio maana wakati wa Kotei... Mkude alipokonywa namba.... Mara nyingi alicheza kama kiungo mshabuliaji...juu ya Kotei...angalia magoli mengi anayofungwa simba...yanapitia Katikati..... ngumu sana kuifunga Simba kupitia pembeni.....Goli la prison liliniuma sana...yaani mchezaji anarushiwa mpira...anatuliza.... anarudi nyuma...anapiga mpira kama vile ni mpira wa adhabu..bila kusumbuliwa na mchezaji yeyeto wa Simba....sijui club bingwa itakuaje.
Kwann tusimuondoe sasa hiviHuyu kocha akifungwa tens mechi ya jumamosi apitilize airport na mabegi yake
Mkude akiwa na mpira anaangalia upande mmoja wa kutoa pasi halafu ana kigugumizi mguuni pia hana maamuziKucheza kiungo mkabaji lazima uwe offensive katika ukabaji na usikae na Mpira utoe pasi haraka kuwaamsha viungo washambuliaji na mawinga wawe active and faster.
Fraga huwa hataki udambwi udambwi anaokoa na kutoa pass haraka Jambo ambalo Jonas Mkude linazidi kupungua, anapata kigugumizi Sana na kuishia kupokonywa mipira.