Simba SC is somethingwrong somewhere

Tujiandae kwa hamsa zingine labda tukutane na Comoro au Shelisheli
 
Real Madrid kapigwa mechi ngapi?.
Nyie mashabiki MAANDAZI kuwa kila siku mnataka timu ISHINDE mpira HAUENDI HIVYO.
na ni akili za kitoto kuwa kufungwa timu basi kuna matatizo Kama uliyoyasema wewe.
BADILIKA
Mufululizo, we vipi? Timu ifungwe mfululizo, nenda zako kalale,
 
Yaani jamaa kaandika UTOTO UTOTO mpaka namshangaaa.
Ndo mashabiki MAANDAZI hawa.
 
Real Madrid kapigwa mechi ngapi?.
Nyie mashabiki MAANDAZI kuwa kila siku mnataka timu ISHINDE mpira HAUENDI HIVYO.
na ni akili za kitoto kuwa kufungwa timu basi kuna matatizo Kama uliyoyasema wewe.
BADILIKA
Hakuna timu inayofungwa bila sababu. Hivi Simba iliyofungwa hizi mechi mbili umeiona ikicheza Kama ambavyo imeanza ligi?

Hakuna mtu aliyelalamika tulipofungwa na jkt mwaka Jana pale taifa kwa sababu tulifungwa lakini tulicheza vizuri lakini mechi hizi mbili tumepigwa na tumecheza vibaya
 
Timu kufungwa ni kawaida .
Sasa unapoanza kusema tumefungwa sababu Morrison kasajiliwa Simba.
Hizo NI sababu za kitoto.
Hakuna timu isiyofungwa.
Kikubwa uongozi wa Simba upo na benchi la ufundi lipo watairekebisha.
Mambo ya kuanza kujifanya tunajua kila kitu hayo tuwaachie YANGA..
 
Hakuna tim isiyofungwa-,watu mpo vigeugeu sana asee.
 
Mkuu niondoe ukakasi swala la captain match ya Jana. Maana captain ni Bocco na msaidizi wake ni Zimbwe. Jana Zimbwe alianza match lakini captain alikuwa Mkude,na hata Bocco alipoingia Mkude akabaki kuwa captain hadi match inaisha,hii imekaaje?
 
Mkuu niondoe ukakasi swala la captain match ya Jana. Maana captain ni Bocco na msaidizi wake ni Zimbwe. Jana Zimbwe alianza match lakini captain alikuwa Mkude,na hata Bocco alipoingia Mkude akabaki kuwa captain hadi match inaisha,hii imekaaje?
Bocco kashajibu hili kasema kwamba alipokuwa anaingia wote walikuwa wamekazia macho kutafuta goli hivyo akasahau kwenda kuchukua kitambaa kwa mkude
 
Naona mikia mshaanza kupoteana🤣🤣🤣🤣🤣🤣
 
Hakuna lolote credict ziende kwa Ruvu na Prisons. Simba imepata ushindi wa tabu Sana na Ihefu Sokoine, ikadroo na mtibwa jamhuri morogoro, ikafungwa na Prisons na Jkt. Simba huwa inapata tabu Sana ikicheza na timu zinatumia mtindo wa "low block" na kukaba kwa nguvu hasa kwenye hivi viwanja vya zamani ambavyo pichi ni vidogo. Kwenye hizi mechi mbili za mwisho kukosekana kwa striker mwenye nguvu kumeiathiri Sana timu kwani ili uweze kuipenya defense ya timu inayocheza mtindo huu lazima striker aweze kuhold Mpira na awe na uwezo wa kugombea mipira ya juu. Vyote hivyo Simba hawakua navyo. Pichi ya Uwanja wa Mkapa ni mkubwa hata timu zikitumia mfumo huu Bado kunakuwa na nafasi kubwa Kati ya wachezaji. Watanzania tujifunze sayansi ya Mpira inatangulia kabla ya siasa ya Mpira. Huwezi kulaumu uongozi katika Jambo linaloonekana wazi kiufundi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…