Frank Wanjiru JF-Expert Member Joined Apr 12, 2012 Posts 22,719 Reaction score 40,739 Oct 30, 2020 #61 tony92 said: Zimbwe alianza mbona bado capten alikua mkude? Click to expand... Akikujibu hili nitag
Frank Wanjiru JF-Expert Member Joined Apr 12, 2012 Posts 22,719 Reaction score 40,739 Oct 30, 2020 #62 The real Daniel said: Bocco kashajibu hili kasema kwamba alipokuwa anaingia wote walikuwa wamekazia macho kutafuta goli hivyo akasahau kwenda kuchukua kitambaa kwa mkude Click to expand... Mbona Zimbwe alianza na hakuvaa kitambaa cha captain?
The real Daniel said: Bocco kashajibu hili kasema kwamba alipokuwa anaingia wote walikuwa wamekazia macho kutafuta goli hivyo akasahau kwenda kuchukua kitambaa kwa mkude Click to expand... Mbona Zimbwe alianza na hakuvaa kitambaa cha captain?
The real Daniel JF-Expert Member Joined Jan 5, 2017 Posts 2,117 Reaction score 7,899 Nov 5, 2020 #63 Frank Wanjiru said: Mbona Zimbwe alianza na hakuvaa kitambaa cha captain? Click to expand... Nafikiri kwa hizi mechi 2 tumethibitisha kwamba uongozi ndani ya kikosi Cha Simba umebadilika First captain: bocco Second captain: chama Third captain: kapombe
Frank Wanjiru said: Mbona Zimbwe alianza na hakuvaa kitambaa cha captain? Click to expand... Nafikiri kwa hizi mechi 2 tumethibitisha kwamba uongozi ndani ya kikosi Cha Simba umebadilika First captain: bocco Second captain: chama Third captain: kapombe
MOTOCHINI JF-Expert Member Joined Jan 20, 2014 Posts 28,064 Reaction score 31,401 Nov 5, 2020 #64 Wapo wachache Walitaka Kutuvuruga
Smart911 Platinum Member Joined Jan 3, 2014 Posts 135,167 Reaction score 160,806 Nov 6, 2020 #65 Kuna second chance... Cc: mahondaw