Wewe kila mwaka mbona unalalamika tu?Viongozi wa Simba ni hovyo kabisa, Wamesajili wachezaji wa Ligi kuu na si mashindano ya Kimataifa.
Yaliyotokea 2020 yamejirudia vile vile.
Baada ya Kuondoka chama na Miquesson simba ikajidai kuja na Project ya vijana wadogo.
Walisajiliwa wachezaji kama Ifuatavyo.
1 Peter Banda.
2.Pape sakho.
3.Dunkan Nyoni.
4.Jimyson Mwanuke.
5. Valentino Muhilu.
6.Mwenda.
Yamemkuja Kujirudia Makosa yale yale ya 2020.
Makosa ni mengi sana kwenye Usajili.
Tangu 2019 simba Imesajili wachezaji 82.
Huyo ni zezetu tu achana nae ni Mtalaka wa Mo wa ujanani.Wewe kila mwaka mbona unalalamika tu?
Mwamba una 'GUBU' sana aseeh. Ni muhimu tujue wewe ni mwanachama ama mshabiki tu?!Viongozi wa Simba ni hovyo kabisa, Wamesajili wachezaji wa Ligi kuu na si mashindano ya Kimataifa.
Yaliyotokea 2020 yamejirudia vile vile.
Baada ya Kuondoka chama na Miquesson simba ikajidai kuja na Project ya vijana wadogo.
Walisajiliwa wachezaji kama Ifuatavyo.
1 Peter Banda.
2.Pape sakho.
3.Dunkan Nyoni.
4.Jimyson Mwanuke.
5. Valentino Muhilu.
6.Mwenda.
Yamemkuja Kujirudia Makosa yale yale ya 2020.
Makosa ni mengi sana kwenye Usajili.
Tangu 2019 simba Imesajili wachezaji 82.
Wewe kila mwaka mbona unalalamika tu?
Mwamba una 'GUBU' sana aseeh. Ni muhimu tujue wewe ni mwanachama ama mshabiki tu?!