Simba sc itarudisha makombe iliyoyapoteza

Simba sc itarudisha makombe iliyoyapoteza

K2S7J3

JF-Expert Member
Joined
Apr 9, 2013
Posts
449
Reaction score
332
Wasalaam wana jf

Kwanza nianze kwa kuwapongeza wanafainali wote wa ngao ya jamii 2023 kwa kufanikiwa kucheza fainali.

Pili niwapongezea tena simba sc kwa kufanikiwa kushinda ngao ya jamii mwaka 2023 tena mbele ya mtani.

Tatu nijielekeze kwenye nada;

Nimeangalia mechi tatu za simba kwa makini na kugundua kuwa;

1. Timu hii bado inajitafuta kwenye safu ya umaliziaji japo ilishinda dhidi ya power dynamos

2. Kocha hajapata kikosi cha kwanza wala sub kitu kinacholeta changamoto kubwa katika uchezaji wa kitimu

3. Eneo pekee ambalo simba iko imara hata kabla ya muungamiko wa timu ni "backline"

4. Katika mechi hizi tatu, yaani dhidi ya dynamos, singida na yanga, sijaona golikipa wa simba akipata makashikashi.

Hivyo,

Kwa hoja za 3 na 4, ni dhahiri simba wanaukuta imara sana ambao timu zinazosemekana kuwa ni timu bora zimeshindwa sio tu kushinda dhidi ya simba bali hata kumsumbua kipa kwa michomo kwani mashambulizi yote yamemezwa na ukuta imara unaosemekana kuwa wa yeriko.

Kwahyo;

Kwa kuzingatia principle ya "safu bora ya ushambuliaji huleta ushindi na safu bora ya ulinzi huleta ubingwa, naitabiria simba kurejesha mataji iliyoyapoteza kwaisimu miwili iliyopita.

Ndimi mdau wa moira (sio mchambuzi)
 
Sasa ni zamu ya simba. Hizi timu mbili ni mali ya serikali ya ccm kabla na baada ya uhuru, na kazi kubwa ni KU "fool the masses" . Kwa hiyo kuna ratiba ya lini huyu ashinde mara ngapi, baada ya hapo timu zinapokezana.
Na wamefanikiwa sana ku "fool the masses" 🙌🏿🙌🏿

Hii mbinu ilibuniwa enzi za utawala wa rumi enzi hizo kabla ya Yesu kuja duniani. Waliweka michezo mingi, matamasha mingi, miziki mingi ili wananchi watulie

How did the emperor keep the masses in Rome happy?

Answer and Explanation: The two most popular means of appeasing the general populace for Roman emperors were throwing large, lavish games and spectacles at the expense of the state, and making sure the people had plenty to eat by keeping the grain supplies (the main Roman staple) uninterrupted.

Bread and circuses

The Emperor Augustus was well aware of this risk and was keen to keep the poorest plebeians happy enough and reasonably well fed so that they would not riot. He began the system of state bribery that the writer Juvenal described as ‘bread and circuses’.

Free grain and controlled food prices meant that plebeians could not starve, while free entertainment – such as chariot races and gladiators in amphitheaters and the Circus Maximus – meant that they would not get bored and restless. Bribery it may have been, but it often worked.

Ngoja nimalize kama mrangi




Ova
 
Back
Top Bottom