Kweli kabisaNo need to worry
Ushindi ni lazima Leo
Kiongozi ungesindikiza ujumbe wako na Ile picha maarufu ya yule yupo kifua wazi na katanua mikono ingependeza!Nyo nyo nyo!! Kiko wapi sasa.
Labda kushinda njaaUjio wa kocha mpya utawafanya wachezaji watakaopata nafasi ya kucheza wapambane kufa na kupona Ili kujihakikishia nafasi kwenye kikosi Cha kwanza Cha kocha mpya.
Matokeo yatakua ni 3-0 au 3-1.
Vipi matokeo Bwashee! Ameshinda ngapi?Ujio wa kocha mpya utawafanya wachezaji watakaopata nafasi ya kucheza wapambane kufa na kupona Ili kujihakikishia nafasi kwenye kikosi Cha kwanza Cha kocha mpya.
Matokeo yatakua ni 3-0 au 3-1.
kweli tumeona wamepambana...Ujio wa kocha mpya utawafanya wachezaji watakaopata nafasi ya kucheza wapambane kufa na kupona Ili kujihakikishia nafasi kwenye kikosi Cha kwanza Cha kocha mpya.
Matokeo yatakua ni 3-0 au 3-1.