Simba SC itatinga Nusu Fainali

Simba SC itatinga Nusu Fainali

Jinsi kuhesabu namba kiarabu
واحد wahed. one.
اثنين ethnein. two.
ثلاثة thalatha. three.
أربعة arba-a. four.
خمسة khamsa. five.
ستة sitta. six.
سبعة sab-a. seven.
ثمانية thamanya. eight.
 
Jinsi kuhesabu namba kiarabu
واحد wahed. one.
اثنين ethnein. two.
ثلاثة thalatha. three.
أربعة arba-a. four.
خمسة khamsa. five.
ستة sitta. six.
سبعة sab-a. seven.
ثمانية thamanya. eight.
Hayo ya kuweka au kuwekwa?
 
Mtoa mada vipi kafika Nusu fainali ya wapi ?
 
Mimi ni Yanga damdam! Ila jana Simba kafanya vizuri! Amejitahidi sanaaaa ! Ameiletea Sifa Tanzania kusema za ukweli. Hongereni sana pamoja hawakusonga mbele. Mnyonge mnyongeni haki yake mpe. Ingalikuwa Yanga Sijui kama penalt zingslikuwepo. Simba ni fighters. Jionee
 
kujitahidi ndo nini mpira statistics alikuwa na On tagert ngap ana makombe mangapi apo halipo ni stage ya ngapi acheni ngendembwe changieni hela ya usajili
 
Back
Top Bottom