DELETED ACCOUNT
JF-Expert Member
- Mar 25, 2010
- 9,805
- 15,476
Naunga mkono hoja, Simba ikatae wazi wazi hizi propaganda za jumuia za CCM.
wanachama hatutaki kabisa kusikia.
Wanataka kutuvuruga tu na mambo yao. Watuache tuenjoy football bila stress za mambo yao.Tupo nje ya muda kudili na hivyo vi watu...
Mtake mstake Simba na Yanga zitatumika kisiasa na viongozi hawawezi abadani kujitenga na siasaNaunga mkono hoja, Simba ikatae wazi wazi hizi propaganda za jumuia za CCM.
wanachama hatutaki kabisa kusikia.
Hatuwezi kuzichezea na kuziweka rehani hisia na furaha za watanzania kwa watu kama hawa ambao leo anaisifia Simba na kuichamba Yanga, kesho ikiwa kinyume naye anabadilika kama kinyonga.Mtake mstake Simba na Yanga zitatumika kisiasa na viongozi hawawezi abadani kujitenga na siasa
Ni kweli hizi timu zilianzishwa kwa malengo ya kisiasa na bado ipo hivyo, hata hawa viongozi ambao tupo nao wapo kwa idhini ya serikali iliyopo madarakani, ukiwa kinyume na serikani hauwezi kuwa kiongozi simba wala yangu, na nchi hii hatujaweza kutenganisha kati chama na serikali ndo maana mpaka leo ccm wanaweza kuchukua mali ya umma wakaifanya kuwa ya chama.Anzisha timu Yako ndio uitenganishe na siasa jinga kabisa wewe simba na yanga ni Mali ya ccm na wewe huna mamlaka yeyote ya kuziongele1 hizo klabu sababu ni Mali ya ccm sio yako
Watu wajinga kama hawa hawaelewiNi kweli hizi timu zilianzishwa kwa malengo ya kisiasa na bado ipo hivyo, hata hawa viongozi ambao tupo nao wapo kwa idhini ya serikali iliyopo madarakani, ukiwa kinyume na serikani hauwezi kuwa kiongozi simba wala yangu, na nchi hii hatujaweza kutenganisha kati chama na serikali ndo maana mpaka leo ccm wanaweza kuchukua mali ya umma wakaifanya kuwa ya chama.
Mkuu, itawezekana kukemea hili kutoka kwa viongozi? Tutakosa ndege ya kwenda Morocco. Hata uto kipindi kile siasa ziliingizwa sana baada ya kufika fainali. Hii nchi kila kitu siasa na hili wanalitumia pia. Kikubwa ni kukomaa kiwanjani. BaaaasNaunga mkono hoja, Simba ikatae wazi wazi hizi propaganda za jumuia za CCM.
wanachama hatutaki kabisa kusikia.
Kwani sisi wenyewe hatuwezi kodi ndege itupeleke Berkane? LolMkuu, itawezekana kukemea hili kutoka kwa viongozi? Tutakosa ndege ya kwenda Morocco. Hata uto kipindi kile siasa ziliingizwa sana baada ya kufika fainali. Hii nchi kila kitu siasa na hili wanalitumia pia. Kikubwa ni kukomaa kiwanjani. Baaaas