Simba SC iuzwe kwa tajiri Dewji

Simba SC iuzwe kwa tajiri Dewji

mdundo ngoma sana

JF-Expert Member
Joined
Jan 2, 2016
Posts
1,002
Reaction score
955
Smba imetutia aibu tunatukanwa sana .Tunazomewa kila kona,viongozi masikini bado wanaitaka.

Ndugu Dewji ichukue na utuondolee kadhia hii. Sisi tunaitaka simba ifanikiwe,hatutaki kwenda club kujadili katiba ya simba. Tumeshindwa kufikiri sahihi juu ya kuiongoza simba.

Tunakuomba Dewji utusaidie kufikri na kuweka fikra zako kwenye plan, plan hiyo ikihitaji fedha toa fedha unazo. Sisi muda mwingi tunapiga mdomo bila fedha matokeo tunadhalilika.

Simba imejaa mamluki watupu wapiga dili wasio na kitu mfukoni. Walionacho ni wachache wenye fedha za kulipia ada watoto zao. Simba inacheza haina hata mchezaj mmoja tishio. Unapokabiliana na simba sawa sawa na kucheza na majimaji au african sport.

Tunataka simba kamili yenye nguvu sio bahatisha bahatisha. Hatutaki kulea vipaji ligi kuu isipokuwa vipaji vikalelewe simba B. Aveva na wenzako kabidhini timu iwekeni sokoni ipigwe mnada.
 
ikiuzwa hiyo baadae wenye akili wataanza kudai kama udart...Kwa nini iuzwe...
 
Iuzwe na nan ? Pesa apewe nan? Pesa hizo zitatumikaje??? Ni ngumu sana maana timu inamilikiwa na wanachama sio individual!!!

Duc In Altum.
 
Sioni tatizo team kuuzwa.. Wanaohofia kuuzwa ni wale wapigaji wa hela.. Walioweka mirija yao ma kupoteza mwelekeo wa team
Mbna team za ulaya zinauzwa?
mfumo wa team za ulaya unaeleweka na watu wana share pale kwa hiyo timu ikiuzwa umiliki wa timu unabadilika na utawala pia na unakua bora...huyo anaetaka kuinunua simba si nae atakua na maslahi na wachache tuu..
 
Goodwill ya Simba..na jengo ndio 20 Billion wakati jengo tuu ndio gharama yake tafuteni viongozi bora tuu waiinue Simba..Mbona ilikua ni Timu nzuri kabla toka imepenyezwa rupia ya kuhujumu timu ili hii filimbi yenu ya iuzwe ionekana ina nguvu Simba au Yanga ni za wananchi akitaka timu anunue vitimu vidogo huko hata kwa milion 500 atapata...
 
Nadhani kuuzwa sio neno fasaha lkn kubadili mfumo wa uendeshaji na timu iendeshwe kama kampuni ili iwe rahis kupata mtaji ...i believe now kuna wa2 wengi wangependa kuwekeza pesa zao lkn wanaogopa pesa zao zitaishia kwenye mifuko ya wachache!!! Issue hapa ni uelewa wa elimu ya biashara ... wanachama siku zote watabaki kuwa wanachama na fursa za uongoz zitabaki kwa wanachama ila anae hodhi asilimia nyingi ndo atakua na say kwenye maamuz makubwa ya klabu!!!!
 
Huo ndio ukweli uliobaki japo washahili wengi wanajitoa ufahamu halikuwa hawaisaidii club kwa mambo ya kifedha.

Bila usajili mxuri hakuna ubingwa.
 
Simba SSC inahitaji uongozi wa aina ya Kassim Dewji. Kama inashindikana basi Mo Dewji apewe timu kimkataba.
 
Poleni sana watani. Hvi hamuoni sie timu ikivurunda jangwani hapakaliki? Kuanzia wafadhili mpaka wafyeka nyasi uwanja wa kaunda fukuza.
 
Poleni sana watani. Hvi hamuoni sie timu ikivurunda jangwani hapakaliki? Kuanzia wafadhili mpaka wafyeka nyasi uwanja wa kaunda fukuza.
Yanga bila Manji ni kichekesho. Subiri Manji aondoke tuone akina Mzee Akilimali wakiwavuruga.
 
Tatizo letu SSc ni kukosa uongozi wenye vision. Ni ujinga eti kila mwaka timu inajengwa upya (.. unafukuza 70% ya wachezaji na kuajiri wapya kila msimu). Kulikuwa na haja gani ya kutowapa mikataba akina Musoti, Tambwe , Dida, Kapombe, n.k.?
 
Iuzwe na nan ? Pesa apewe nan? Pesa hizo zitatumikaje??? Ni ngumu sana maana timu inamilikiwa na wanachama sio individual!!!

Duc In Altum.

Timu ina adopt mfumo wa kampuni..Inauza shares.....

Hisa hizo zinarudi kwenye uwekezaji kwenye timu

Kwani wewe kama shabii unataka nini...si timu iwe na mafanikio...or what else do you want?
 
Mo alikua na timu muulizeni alishindwa vp kuibrand na kua timu kama Azam


Tumuuzie MO timu...simba hii ni yeye tu anaweza kuivusha.....or else bakini na wapigaji kina hanspope...au mumrudishe rage na dalali...
 
Back
Top Bottom