GENTAMYCINE
JF-Expert Member
- Jul 13, 2013
- 60,660
- 121,325
Uongozi wa Simba SC pitieni sana hapa Jamiiforums na muwe mnanisikiliza mno Mimi GENTAMYCINE sawa?
Nawapambania kuliko hata hao Wanafiki baadhi walioko Kambini kwa sasa.
Haya GENTAMYCINE naamuru haraka sana hiyo Gari aina ya Alphard Nyeusi iishie nje na isiingie Kambini ina Mtu Kirusi na Mganga wa Maadui wetu.
Ni kwamba tumeshawabana kila Kona na wanachokitaka sasa ni Kuvizia Udongo na Nyasi ( kwa Kuzichota Kidogo ) ili Wakawafunge Miguu Wachezaji Wetu na Wawe Wazito kama walivyotufanyia mara Mbili huko nyuma na Kutuweza.
Tafadhali Mtu pekee ambaye nawashauri mumtumie katika Ulipuaji wa Mabomu awe ni Ngande na hakikisheni Safari hii hamumdhulumu Pesa yake kwani anajitoa sana kwa ajili ya Klabu yetu huku akihatarisha hadi Maisha yake.
Nasisitiza kuwe na Usiri mkubwa ila ule Utamaduni wa Wachezaji kulishwa Yamini ( ulioenziwa na Marehemu Mzee Bamchawi ) uwepo.
Naipambania Simba SC yangu kwa namna yangu ya Kipekee na najitoa Mhanga ili Jumapili ishinde hivyo waambieni Wachezaji tukifungwa na Yanga SC mtu ambaye huenda nikaumia mno na sana ni Mimi GENTAMYCINE.
Yafanyieni Kazi yote ninayowaambia.