McCord
JF-Expert Member
- Apr 13, 2023
- 231
- 569
Hello fellas!
Baada ya safari ya Simba Sc kuishia mbele ya Wydad wamekuja watu wengi ambao hawaufahamu mpira vizuri au labda ni mashabiki nyanya ambao wanaitusi Simba na kuimwagia lawama.
Jambo moja la kujua ni kwamba jana Simba Sc kapambana kiume, tofauti na wengi walovyotabiri kwamba angefungwa goli 5 au hata sita lakini ameruhusu goli moja. Na istoshe Simba imeng'olewa kwenye matuta baada ya kutoka na aggregate ya 1 kwa moja ndani ya 90'. Ubovu wa Simba ambao wengine wanauongelea waliuona wapi?