Ujue kinachoiponza Simba sio kama mna timu mbovu ila dharau. Hamjuagi ipi timu kubwa ipi timu ndogo, wakati gani mshambulie wakati gani mjilinde, wapi mshambulie wapi mpaki basi. Nyie mnajiendea tu heshima kwa mpinzani wenu hakuna mnaamini kila timu mnaiweza. Kwa uchezaji wa wale jamaa hata hapo mnapopaita kwa mchina nawashauri mfunguke kwa tahadhari wale sio waarabu kwamba jua litawachosha.