Simba SC Kocha Amunike ametubipu sasa Sisi tumpigie kwa style hii ili ajue kwamba Simba SC ni zaidi ya Yeye Wakuja na Mshamba tu!

MINOCYCLINE

JF-Expert Member
Joined
Apr 2, 2015
Posts
8,018
Reaction score
16,802
Ameshaanza kuonyesha Chuki za wazi kabisa kwa Wachezaji wa Simba SC na hakuna asiyejua kwamba huyu Kocha pia ana mahaba mno na ya Rangi za Njano na Kijani na anajulikana tokea huko Kwao kwa Matapeli wa Afrika kama siyo dunia kwamba anachukia mno Rangi Nyekundu na Nyeupe kutokana na Imani zake za Kipuuzi.

Kwakuwa Tapeli Amunike ameanza sasa Sisi wana Simba SC tufanye haya upesi ili ajue kwamba Tanzania hii yetu bila Simba SC bado haijakamilika:

1. Tugomee kwenda Taifa kuangalia mpira
2. Na ikitokea tukaenda basi dakika zote 90 tuizomee Taifa Stars na kuishangilia Timu ngeni
3. Ikiwezekana tumtafutie Mganga wa Kienyeji mahiri amroge hadi aione Tanzania chungu na akimbie
4. Na ikitokea akaita tena Wachezaji wa Simba SC basi wajitahidi wawe wanazitafuta Kadi Nyekundu kwa makusudi ili Kuihujumu Timu ili achukiwe na afukuzwe upesi
5. Kuanzia leo tutangaze rasmi kuwa Adui namba moja wa Simba SC ni Tapeli Amunike kutoka Nigeria

Atatutambua Simba SC!
 
Duh.
 
Zero Brain

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Rage hakukosea kabisa kuwaita baadhi yenu mbumbumbu, yaani hoja zote za kipuuzi tu na wachezaji unaowatuma wakafanye ujinga uwanjani unajua hasara yake kwenye maisha yao ya soka?
Halafu nyinyi wakati mnaenda uwanjani kuishangilia timu mkafuzu kucheza nini wachezaji wa Simba wakiwemo ndani ya uwanja?
Akili hizi ndio zilizoacha tuko nafasi ya 140 kwenye viwango vya soka.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
hajatugawa Bali ss tunajiona tunaweza sana nmempenda huyu kocha zamu ya SAMATA KUPGWA CHN UNAHODHA INAKUJA
Mechi ya kwanza na uganda tunabugiwa 4-0

Atatafuta pa kutokea!!
 
Mechi ya kwanza na uganda tunabugiwa 4-0

Atatafuta pa kutokea!!
Hapana mwana sport mwenzangu jamaa yuko vzur sana na soka ltaendelea zaid uzembezembe kama kobe kujvutavuta mwsho kabsa
Maana wachezaj wa tmu kubwa wanajiona wanajua sana mpra wakat hataaa misr ni mishe kununuliwa
BONGE LA KOCHA TAIFA STARS MPYA MALENGO MAPYA

Sent from my TECNO H6 using JamiiForums mobile app
 
Namlaumu mzee wko why hakupiga nyeto tu hii sperm?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…