ANOLD MEDIA
Member
- Mar 31, 2021
- 8
- 8
Ndio zao hao upande wa pili, ila kinachouma ni pamoja na kufanya hivyo makombe ya ndani wanabeba wao na kama haitoshi wanawachabanga Simba kama mteja wao mara tano mfululizo.Upande Wa Pili.... Yanga kukipiga na Kimbiji Kombaini pre season.!
Kigamboni mechi za Kimataifa uzitoe Wapi?
Picha nzuri mno.
Kipimo kizuri cha timu ni club bingwa Africa.Mbumbumbu uwa wanacheza na reserve team na wanajisifu na walishawahi poteza kwa izo reserve team.
Angalia timu zote walizochezanazo zinakua zimetoka kucheza mechi ya Ligi kuu pale Misri. Siku ya pili wale wachezaji ambao hawakupata nafasi au waliocheza dakika chache kwenye mechi ndio Wana cheza na Simba๐๐๐.
Na majamaa yanafurahia ushindi usio na tija.
kwenye Ligi Ina anza mi bebo na makosa ya kibinadamu.
Ni sahihi kabisa na kule KAFU tupo topu 5 hatuanzii chekechea kama vibonde, sisi ni jianti wa afurika.Kipimo kizuri cha timu ni club bingwa Africa.