Simba SC kucheza na Power Dynamos Agosti 6, 2023 kwenye kilele cha Simba Day

Dogo acha kukariri maisha. Vipi kama nimerudi kutoka lindo saa 12 asubuhi? Bado una ujasiri wa kuniita jobless! Vipi kama ninakula mafao!! Bado utaniita jobless!!
Acha kuhaha mzee. Kama umerudi kutoka lindo usiwalazimishe wanasimba kuchangia muda unaoutaka wewe.
 
Siku hizi manufaa ya simba yanapangwa na wanayanga?
 
Hii sjui ni coicedence au watu walishachungulia,Hawa jamaa tutacheza nao game tatu in two mounth
 
Hii sjui ni coicedence au watu walishachungulia,Hawa jamaa tutacheza nao game tatu in two mounth
Hiyo ya kirafiki Simba Day inatakiwa ifutwe. Timu inayoalikwa Simba Day hua ni timu rafiki sasa mtu mshapangwa na CAF kukutana huyo sio rafiki yako tena.

Anaweza kuumiza wachezaji wako muhimu kwenye friend match ili mkikutana CAF uwe dhaifu akutoe. Pia kuna swala la kusomana aina ya uchezaji pia.
 
Ondoa shaka mkuu watu wanajua wanachokifanya,Simba imekaa kitaalam apo mkuu,..
Acha waje waishe.
 
WanaSimba tunahitaji kufurahia na kusherehekea TAMASHA letu. Wewe mwenye lengo la kutafuta Pesa tafuta pesa. Kuadhimisha mmeiga kwa Simba halafu leo mnataka kutufundisha namna ya kuendesha Tamasha. Wewe kweli hamnazo na ni kweli wenye akili huko kwenu ni JK na Baba Manara. Over
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…