Simba SC kufungwa goli 2 - 1 na Wydad

Simba SC kufungwa goli 2 - 1 na Wydad

Expensive life

JF-Expert Member
Joined
May 2, 2020
Posts
2,971
Reaction score
9,437
Mpaka sasa nje ya uwanja Wydad anaongoza mbili kwa moja, ngoja tusubiri ndani ya uwanja tuone mambo yatakuwaje.

72E12655-184B-481A-8194-32145F33861C.jpeg
 
Ingawa tutakosa amani kwa makelele, ila nawaombea mpate ushindi. Mkishinda Tanzania imeshinda, Yanga ikishinda Tanzania imeshinda.

Naaminj mtapigana haijwahi kutokea. Kwa nn? Kwa sababu mnajua kwa miaka minne sasa mnaishia robo fainali, ila mtani wenu kaja first attempt tu mguu mmoja uko ndani ya semi final. Kitu ambacho hamtokubali kukiskia maskioni mwenu.
 
Hii mechi siyo rahisi kama mnavyodhania, hii ni champions leage mzee hakuna mnyonge subiri uone mechi itakavyokuwa kesho.
Ndoto tu hizo na wewe unachukulia serious, ww umeelezea ulivyo waza na yy alivyo ota.
 
Msitishike watani, hawa muwakomalie mtoke sare then haoooo nusu fainali.

On a serious note mpatwe tu na lolote linalowastahili🤣🤣🤣
 
Kuna watu wanachambua hii mechi kama tupo shirikisho jamani huku ni klabu bingwa tuheshimiane...
 
Nawaza tu hapa ,mara paaaa Simba huyo nusu fainal sijui hawa jamaa wa upande wa pili watakuja na lipi la kuongea na hawachelew kubadir gia angan.
Jaman huu ni mpira tuwe na akiba kidogo ,wanacheza wanaume 22 uwanjan .
 
Nawaza tu hapa ,mara paaaa Simba huyo nusu fainal sijui hawa jamaa wa upande wa pili watakuja na lipi la kuongea na hawachelew kubadir gia angan.
Jaman huu ni mpira tuwe na akiba kidogo ,wanacheza wanaume 22 uwanjan .
Mbona mi nina akiba siku nyingi tu kuwa Simba imekutana na timu dhaifu ndiyomaana iliifunga 1-0 kwa Mkapa?
 
Back
Top Bottom