Frustration
JF-Expert Member
- Jan 30, 2018
- 3,134
- 4,124
Azam 1 HD wataonyeshaGame itaonekana wap
Azam Sport 2 HDGame itaonekana wap
Hakuna mnyonge ligi ya mabingwa,matokeo ya al ahly na timu ya niger umeyaona?Wakifugwa nitawashangaa sana simba wakifugwa timu kibonde ile
Ngap ukoGoli moja la kwio!
We kiumbe njoo ukague MATAPISHI yakoBe Sports wameonyesha utabiri wa Simba kupoteza mechi ya leo.
Najua Yanga wataisapoti analysis hii na Simba fans wataiponda na hii ndio raha ya mpira duniani
View attachment 1977375
Simba keshampachika shogaake Utopolo goli mbili kwa bila.Ngap uko