Simba SC kuhamishia mechi zake za CAF CC Zanzibar

Simba yanga tanganyika are three inseparable units how dare viongozi wafanye ujinga kama huo.
 
Wanakomoa TFF kwenye mapato,usishangae Simba kuhamisha uwanja wake wa nyumbani Zanzibar kwa mechi za league au mechi kubwa kubwa.

Nawaza tu itakwaje Simba wakihamia league ya Zanzibar mara gafla Azam nao wakahamia Zanzibar league ya bara si itadorora?
 
Sidhani kama itawezekana Simba kuama uwanja wa nyumbani kwenda Zanzibar kwa upande wa mechi za ndani. Kwasababu mashindano ya ligi kuu na Azam cup lipo chini ya TFF hivyo kwenda Zanzibar itakuwa ni ngumu kwasababu michezo haipo kwenye maswala ya muungano. Labda Simba wajisajili upya kama timu kutoka Zanzibar ili wawe chini ya shirikisho la soka Zanzibar
 
Wanakomoa TFF kwenye mapato,usishangae Simba kuhamisha uwanja wake wa nyumbani Zanzibar kwa mechi za league au mechi kubwa kubwa.

Nawaza tu itakwaje Simba wakihamia league ya Zanzibar mara gafla Azam nao wakahamia Zanzibar league ya bara si itadorora?
sio tu TFF hata wao mapato yatapungua
 
Nasikia hata ligi wanaweza kwenda kucheza ile ya Zambia au hata Congo 😀 !! Yaani Yanga na Simba zina maujinga ila maujinga ya safari hii ni Pro Max Ujingaz!!
 
Back
Top Bottom