Rashford Lingard
JF-Expert Member
- Feb 9, 2018
- 938
- 1,150
Lidude flani hivi kuuubwa jinga!Simba popote kambi,kila nchi zinapeleka maombi,dah!!Simba buana ni next level.
Simba ni lidude flani hivi kuuubwa sana.
mihemuko fcViongozi wa klabu ya Simba SC wanafikiria kuhamishia mechi zake za kombe la shirikisho barani Afrika (CAF CC) katika uwanja wa Aman uliopo Zanzibar (kwa mechi za nyumbani)
Sent using Jamii Forums mobile app
Sidhani kama itawezekana Simba kuama uwanja wa nyumbani kwenda Zanzibar kwa upande wa mechi za ndani. Kwasababu mashindano ya ligi kuu na Azam cup lipo chini ya TFF hivyo kwenda Zanzibar itakuwa ni ngumu kwasababu michezo haipo kwenye maswala ya muungano. Labda Simba wajisajili upya kama timu kutoka Zanzibar ili wawe chini ya shirikisho la soka ZanzibarWanakomoa TFF kwenye mapato,usishangae Simba kuhamisha uwanja wake wa nyumbani Zanzibar kwa mechi za league au mechi kubwa kubwa.
Nawaza tu itakwaje Simba wakihamia league ya Zanzibar mara gafla Azam nao wakahamia Zanzibar league ya bara si itadorora?
Kilaza mmkSimba ni mambumbumbu na mazuzu wa sheria wasiojua lolote na wanakurupuka Kama mavi ya asubuhi.
Inatia huruma sana kwa hawa vilaza kama NAWATAFUNA
waende tu mambuurula haoViongozi wa klabu ya Simba SC wanafikiria kuhamishia mechi zake za kombe la shirikisho barani Afrika (CAF CC) katika uwanja wa Aman uliopo Zanzibar (kwa mechi za nyumbani)
Sent using Jamii Forums mobile app
sio tu TFF hata wao mapato yatapunguaWanakomoa TFF kwenye mapato,usishangae Simba kuhamisha uwanja wake wa nyumbani Zanzibar kwa mechi za league au mechi kubwa kubwa.
Nawaza tu itakwaje Simba wakihamia league ya Zanzibar mara gafla Azam nao wakahamia Zanzibar league ya bara si itadorora?
Unazungumzia sheria? Waliuze utopolo waligwaje huko CASSimba ni mambumbumbu na mazuzu wa sheria wasiojua lolote na wanakurupuka Kama mavi ya asubuhi.
Inatia huruma sana kwa hawa vilaza kama NAWATAFUNA