Simba SC kuingia uwanjani na jeneza ni kumbukumbu ambayo itaendelea kuwatesa mioyoni mwao – historia haifutiki

Pdidy

Platinum Member
Joined
Nov 22, 2007
Posts
62,101
Reaction score
38,487
1. Tukio la Simba SC kuingia uwanjani na jeneza ni kumbukumbu ambayo itaendelea kuwatesa mioyoni mwao – historia haifutiki.

2. Waliingia kwa mbwembwe, jeneza juu ya mabega – lakini kilichowasubiri uwanjani ndicho kilichowachoma zaidi.

3. Jeneza walilobeba halikuwazika wapinzani, bali liliwatangazia maumivu yao ya baadaye.

4. Ile siku walipoingia na jeneza, walizika matumaini yao wenyewe – na hadi leo hawajapona.

5. Kwa mara ya kwanza jeneza liliingia uwanjani likibeba aibu badala ya ushindi – kumbukumbu ya milele.

6. Tangu walipoingia na jeneza uwanjani, matokeo yamekuwa msiba wa kila msimu.
 
Hata mimi niliwashanga nikakumbuka kuhusu karma
 
Watu mna maneno hahaha
Ilikuwa ni siku gani ya week?
Ilikuwa ni tarehe ngapi ya mwezi gani?
Watu wa saati li khabari wakachungulie
 
Lile jeneza liliwazika wenyewe, tokea kipindi icho wanatafutana,,mungu uwa adhiakiwi
 
tulikuwa tushasahau asante kwa kutukumbusha
 
Wakatubu, wasipotubu kuondoa uchuro, mkosi huo utawaandama mpaka washike adabu. Walikuwa wanajichuria na sasa wanapata aibu hiyo
 
Wakatubu, wasipotubu kuondoa uchuro, mkosi huo utawaandama mpaka washike adabu. Walikuwa wanajichuria na sasa wanapata aibu hiyo
Mkuuu lile jeneza alitubukii HATA wafanyajee YAAN kile n kiama cha maisha
Walijitengenezea cancer wenyeweee

Hivi sasa nahisi wako stage three

Bado four na five hapoo wanaweza kidogooo kulifikiria
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…