Sidhani aisee
Henock amepona majeraha?Azam mechi kama anaonesha huwa lazima aiweke kwenye ukurasa wao na kuitangaza. Hapo wamekaa kama wadhamini ila mechi hawaoneshi. Rejea preseason ya Misri, Azam tv waliwekwa kama tu wadhamini ila hakuna mechi iliyooneshwaView attachment 2479287
Simba nguvu moja; One team, One unity!
all the best mnyama
Kuna mtu nilikuwa namuonesha kuwa kuandikwa Azam tv kama wadhamini sio kigezo cha kuoneshwa mechi live. Hiyo line up ni ya preseason Misri mwaka jana.Henock amepona majeraha?