technically
JF-Expert Member
- Jul 3, 2016
- 12,706
- 52,355
Takwimu hizi zinaisaidia vipi Yanga inayokimbiwa na wachezaji wake kwa kushindwa kuwalipa mishahara? Luc hakukosea kuwaita nyie manyani .Inasikitisha sana Mo Ni tapeli sana
Top 10 richest Football clubs in Africa 2020/21.
1. Al Ahly SC Flag of Egypt-$28.2m
2. Mamelodi Sundowns Flag of South Africa-$24.4m
3. Pyramids FC Flag of Egypt-$22m
4. Royal AM Flag of South Africa -$20m
5. Zamalek SCFlag of Egypt-$18m
6. L’Esperance Tunis -$11m
7. Wydad CasablancaFlag of Morocco-$12m
8. Orlando pirates- $7.1m Flag of South Africa
10. Kaizer Chiefs Flag of South Africa-$2.1m
View attachment 1826019
uko sahihi mkuuKwa mujibu wa MO thamani halisi ya Simba kwa hesabu ya Aset ilizonazo zisizo hamishika ni Billion tatu.
Sasa Kuna wadau wakasema nembo ya Simba Ina thamani kubwa kwakua ina mashabiki wengi, ilo ni kweli lakini je! kabla ya kuja MO Simba kwakutumia ao wanao daiwa mashabiki wengi ilisha wahi kuingiza bilion moja katika biashara yoyote?
Maanayake bila MO kupandisha thamani ya Simba kwa kuingiza fedha zake za mfukoni Simba ipo vilevile ambayo inaingiza million 300 kwa mwaka kwa kupitia vyanzo vyake vyote vya fedha.