Simba SC kutoa taarifa mpya kuhusu Mtendaji Mkuu, Barbara Gonzalez

Dabil

JF-Expert Member
Joined
Sep 30, 2021
Posts
6,823
Reaction score
15,293

Inawezekana amekalia kuti kavu?
 
Itakuwa wanampandisha cheo labda.

Huyu si ndio tuliambiwa kuwa ndio CEO mahiri kuliko wote na amealikwa mara sijui ufunguzi wa michezo ya afrika mara sijui kapiga picha na Rais wa UEFA sijui FiFA?
 
Ndio huyo huyo
 
Ndio nan huyu
Huwezi kumjua kwasababu kwenye ukoo wenu aliesoma sana kaishia form four,mama yako ni bar med sasa mtu mwenye masters ya London school of economics utamjuaje? Wewe pambana na hao akina mwajuma vijora ndio unawajua vizuri chao.
 
Nipe namba yako..kwa uandishi huu utakuwa na wowowo tamu sana
 
Huwezi kumjua kwasababu kwenye ukoo wenu aliesoma sana kaishia form four,mama yako ni bar med sasa mtu mwenye masters ya London school of economics utamjuaje? Wewe pambana na hao akina mwajuma vijora ndio unawajua vizuri chao.
wanaume mme haribika siku hizi
 
Huwezi kumjua kwasababu kwenye ukoo wenu aliesoma sana kaishia form four,mama yako ni bar med sasa mtu mwenye masters ya London school of economics utamjuaje? Wewe pambana na hao akina mwajuma vijora ndio unawajua vizuri chao.
Kwa kichambo hiki, ashakum si matusi!
Sina shaka we' ni Mzaramo!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…