Huyu si ndio tuliambiwa kuwa ndio CEO mahiri kuliko wote na amealikwa mara sijui ufunguzi wa michezo ya afrika mara sijui kapiga picha na Rais wa UEFA sijui FiFA?
Huwezi kumjua kwasababu kwenye ukoo wenu aliesoma sana kaishia form four,mama yako ni bar med sasa mtu mwenye masters ya London school of economics utamjuaje? Wewe pambana na hao akina mwajuma vijora ndio unawajua vizuri chao.