Simba SC kwa aibu kubwa ninayoiona inakuja na kwa upuuzi wa Ndola jana, tuwape Yanga SC nafasi yetu AFL ili wakaliheshimishe Taifa

Lakini walikandwa 2-0 na Simba kwenye ngao ya hisani.
Baada ya kuwaomba Wasitukazie ( Wasitubanie ) ili tuwafunge na Mashabiki tuone tumesajili Majembe wakati kumbe tumesajili Takataka tupu tu.

Matokeo ya Simba SC jana yamenivuruga mno Mkuu kwani kila tukishauri tunapuuzwa halafu Mijitu Mipumbavu ndiyo inaaminika na kuwa Waandamizi wa Klabu yetu.
 
Simba wana wachezaji wazuri kuliko yanga walichotuzidi yanga wachezaji wao wana fighting sprit. Wachezaji wa Simba hawajitumi wana usupastaa mwingi wengi hawana ndoto za kuchezea timu kubwa ndoto zoa zimefika Mwisho.
 
Tatizo simba ni uongozi.
Wachezaji hawajitumi kwa kuwa mnawalea sana
 
Frank Wanjiru kutwa Unanitukana hapa JamiiForums huku ukisema kuwa Dishi langu limeyumba na Ukinidharau mno tu inakuwaje leo una Like Uzi wangu na Posts zangu?

Kwahiyo GENTAMYCINE nikiwa naanzisha Mada hapa za Kuisema Yanga SC yako huwa nakuwa Adui na mbaya Kwako ila nikianzisha tu Mada ( Uzi ) wa Kuinanga Simba SC yangu Kwako huwa ni furaha na nakuwa sahihi na Unanikubali?

Je, kwa Kitendo hiki nikikuita Wewe ni Mnafiki mkubwa na huna Spirit ya Sportsmanship ( niliyonayo Mimi GENTAMYCINE ) nitakuwa nakosea?

Na ninachokushangaa zaidi Kutwa huwa Unanitukana, Ananidhalilisha na Kunichafua hapa JamiiForums ila sijui ni kwanini huwa unapenda kufungua Mada ( Threads ) zangu wakati wako Members hapa ambao Unawakubali na Unawaona Bora zaidi yangu.

Sihitaji Likes zako hizi za Kinafiki zitoe.
 
Pole mtani gugumia ndio ukubwa huo
 
Kibu una chuki binafsi naye. Anajitahidi sana.

Golikipa hakuna mtu pale. Bora yule dogo Salim.
Kibu pekee ndiye alionyesha juhudi binafsi, Chama pamoja na kufunga amecheza chini ya kiwango.

Wachezaji hawakuwa na muunganijo mzuri, vinginevyo wangefunga zaidi ya 5.

Team pinzani haikuwa nzuri sana.

Ilikuwa na wachezaji wawili tu wazuri, Joshua na Zulu kama sijakosea, hao ndio tishio kidogo
 
Ndiyo maana nakupenda Mtani wangu.
 
Pole mtani....pira gamondi linafukuta na kufurukunyua.πŸ’›πŸ’šπŸ’›πŸ’šπŸ’›πŸ’šπŸ’šπŸ’š
 
Wewe jamaa utakua lini? Ujinga ujinga tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…