Simba SC kwanini haijasajili Mshambuliaji mpaka sasa?

Huu msimu umeisha tujipange kwa ujao, sioni namna ya kulipunguza hili gape la point tano.
 
kagere bocco,mugalu ,muhilu,kibu, bado untk mshambuliaji mwngine?
Hao kina Boko, ndo kama ukivyoona Leo. Miguu haina glisi, mugalu sio super, kagere anachagua mechi. Labda msubiri majira ya joto kwa Phiri kama Yanga hawatawapiku
 
Washambuliaji wa nini mkuu wakati mnae boko, mugalu,kagere,mhilu,mwanuke,amuoni hao ni washambuliaji wa levo za juu kabisa Kama alivyosema mwenyekiti wenu mangungu?
 
Hao kina Boko, ndo kama ukivyoona Leo. Miguu haina glisi, mugalu sio super, kagere anachagua mechi. Labda msubiri majira ya joto kwa Phiri kama Yanga hawatawapiku
Eti grisi dah
 
Washambuliaji wa nini mkuu wakati mnae boko, mugalu,kagere,mhilu,mwanuke,amuoni hao ni washambuliaji wa levo za juu kabisa Kama alivyosema mwenyekiti wenu mangungu?
Bocco haupo serious jamaa[emoji848][emoji848]
 
ili mpoteze kombe kuna ujinga huwa lazima ufanyike. Naamini hii ni sehemu ya ujinga ambao utapelekea kupotea NBC
Afadhali wewe umeungana na mimi, hivi competition ya msimu huu ni ya kukubali kukaa nyuma kwa point tano? Na hapo tukifanya uzembe kwenye kiporo hupenda tukazidiwa point 6 au 8 kabisa.

Huu msimu tumepoteza tayari.
 
ili mpoteze kombe kuna ujinga huwa lazima ufanyike. Naamini hii ni sehemu ya ujinga ambao utapelekea kupotea NBC
Dah yaan n ujinga kwa kweli

Halafu unajua hivi vitu mashabiki ndiyo wanaumiaga zaidi kuliko hata hao viongozi ambao wanalipwa ili wafanye kazi yao
 
Afadhali wewe umeungana na mimi, hivi competition ya msimu huu ni ya kukubali kukaa nyuma kwa point tano? Na hapo tukifanya uzembe kwenye kiporo hupenda tukazidiwa point 6 au 8 kabisa.

Huu msimu tumepoteza tayari.
usikate tamaa mapema mzee
 
Wameshindwa kutoka milioni 200 kwa ajili ya kuvunja mkataba wa moses phiri.

Wameambiwa warudi mwezi june wakiwa na milioni 150 mkononi.

πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚

Wakaamua kumsainisha pre-contract.
 
Mhilu sijawahi muelewa sijui lakini
Mhilu hata mm mpaka sasa sijamsoma pengine labda kwa vile hapewi nafasi mara kwa mara ni ngumu kumhukumu kwa sasa angepewa kwanza nafasi mechi kadhaa hivi kama ilivyo kwa Kibu ndo tungejua vzr
 
usikate tamaa mapema mzee
Gape la point 5 kwenye ligi ngumu kama hii tena mbaya zaidi unazidiwa na timu yenye uchu wa kubeba ubingwa baada ya kuukosa misimu 3 mfululizo, ni sawa na kuulizia makofi polisi, kwa mwendo wa yanga wa sasa na aina ya wachezaji ilionao wacha tusubili tusiongee mengi
 
Wameshindwa kutoka milioni 200 kwa ajili ya kuvunja mkataba wa moses phiri.

Wameambiwa warudi mwezi june wakiwa na milioni 150 mkononi.

[emoji23][emoji23][emoji23]

Wakaamua kumsainisha pre-contract.
Mpira wa siku hizi gharama haziepukiki kama unataka mchezaj mzur lazima uingie mfukoni aisee kama wenzetu huko kwa wamisri
 
wana uchu hasa ila mpira bwana we acha si umeona Chelsea ilivyokuwa mzee
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…