Prince Kunta
JF-Expert Member
- Mar 27, 2014
- 22,797
- 28,904
Hivi kumbe pablo sio mshambuliaji kelele zote zile za kumleta kumbe hamna kituKatika kitu ambacho sijaelewa hadi sasa hivi SSC inampango gani pale mbele Ina maana wameridhika na kina Bocco,Mugalu,Kagere na Mhilu?....
Kila nikikumbuka kuwa mpaka sasa ubingwa wetu unategemeana na Yanga kufanya vibaya na sio ubora wa team yetu tena, nakata tamaa kabisa.usikate tamaa mapema mzee
Hatari sana hata hao yanga wenyewe wanajua msimu huu kombe ni lao na wachezaji wanaspirit ya kufa mtu na wameshajiamin lakin huu n mpira ngoja tuoneKila nikikumbuka kuwa mpaka sasa ubingwa wetu unategemeana na Yanga kufanya vibaya na sio ubora wa team yetu tena, nakata tamaa kabisa.
Emagine Yanga wawe na msimu kama ule ambao sisi tulipoteza mechi ya mwisho tu , dhidi ya Kagera.
Ndio maana nasema kupoteza ligi kunaambatana na ujinga mkubwa. Unamleta Udoh wakati una Lwanga, Kanoute, Mkude na Mzamiru ambao hakuna tatizo. Unamleta Moukoro wakati kuna winga kibao wa nje na ndani. Mgonjwa ana UTI anapewa dawa za mafuaBadala yake waklete viungo wakawa wanafanyia majaribio kwenye Mapinduzi wakati Simba ndio timu tajiri kwa viungo. Kwa mwendo huu hata ubingwa ni hatihati.
Sometime nakukubali sana kwenye kuchambua,Wenzio hapa bado wanaishi kwa historia ya msimu uliopita.ili mpoteze kombe kuna ujinga huwa lazima ufanyike. Naamini hii ni sehemu ya ujinga ambao utapelekea kupotea NBC
hawezi pona kamwe huyo mgonjwaNdio maana nasema kupoteza ligi kunaambatana na ujinga mkubwa. Unamleta Udoh wakati una Lwanga, Kanoute, Mkude na Mzamiru ambao hakuna tatizo. Unamleta Moukoro wakati kuna winga kibao wa nje na ndani. Mgonjwa ana UTI anapewa dawa za mafua
kwa akili yako unafikiri kocha hajui, si ajabu kawapanga makusudi ili awaumbueTatizo linaanzia pale tunaposubiri na kuamini Sana ripoti ya kocha wakati mapungufu mengine yako wazi ,hata shabiki asiyejua mpira anaona kabisa kwamba hapa pana mapungufu
Kwamba mech ya kagera sugar tumesha shinda mkuu?Huu msimu umeisha tujipange kwa ujao, sioni namna ya kulipunguza hili gape la point tano.
Sasa zigo kahamishiwa matola.Matola kaambiwa na kocha mkuu amtoe kapombe kamtoa enonga,
Yule anatakiwa awe wa kwanza kuondoka simba.
Ni kweli mkuu ni bora uwe na list ya wachezaji motto hata kama ni wachache!ili mpoteze kombe kuna ujinga huwa lazima ufanyike. Naamini hii ni sehemu ya ujinga ambao utapelekea kupotea NBC
Hayo ndio maajabu.kagere bocco,mugalu ,muhilu,kibu, bado untk mshambuliaji mwngine?
Mkuu katika hao wa kimataifa umeona impact yao hadi sasa,Hayo ndio maajabu.
Yaani Simba ina washambuliaji zaidi ya watano tena wakimataifa, lakini kuna shabiki anataka Simba inunue washambuliaji wengine, sijui ili iwaje?
Hata kwenye familia unaweza ukawa na watoto wa5 na hata mmoja asikusaidie halafu mwenzako ana watoto wawili na wakamsaidiaHayo ndio maajabu.
Yaani Simba ina washambuliaji zaidi ya watano tena wakimataifa, lakini kuna shabiki anataka Simba inunue washambuliaji wengine, sijui ili iwaje?