OKW BOBAN SUNZU
Platinum Member
- Aug 24, 2011
- 53,868
- 121,001
mchangao kama huu unatia hasira na kuchekesha kwa wakati mmoja. mkuu sijui kama unaelewa kinachozungumziwa au kulalamikiwaHayo ndio maajabu.
Yaani Simba ina washambuliaji zaidi ya watano tena wakimataifa, lakini kuna shabiki anataka Simba inunue washambuliaji wengine, sijui ili iwaje?
Ila Bocco kazidi aisee [emoji119] ile rebound ya penalty kakosa kizembe kabisaHao kina Boko, ndo kama ukivyoona Leo. Miguu haina glisi, mugalu sio super, kagere anachagua mechi. Labda msubiri majira ya joto kwa Phiri kama Yanga hawatawapiku
unajua anachotaka bocco ni kuwaprove watu wrong kwamba ameisha wakati yeye mwenyewe anaamin bado ,matokeo yake sasa anachokutana nacho kila mechi ni majanga kwakeIla Bocco kazidi aisee [emoji119] ile rebound ya penalty kakosa kizembe kabisa
Unamaanisha kuna Wachezaji Chemistry inawapiga Chenga au?Tatizo bado ni Chemistry [emoji4][emoji4][emoji4]
viongoz wanaboa na kwa stail hii hadi kocha itakuwa anapangiwa kikosi hafanyi majukumu yake yaan ile sub ya Boko m sijaielewa kabisa alikuwa anataka nini hasa dah hawa wanataka hadi mashabiki waanze kuandamana watu kutokwenda viwanjani ndiyo wataelewaWana Simba tukubali tu ukweli huu mchungu kuwa huu msimu sisi sio mabingwa na Kuna viongozi Wana mahusiano ya moja kwa moja na baadhi ya wachezaji ndio maana kufanya maamuz kwa ajili ya timu hawawez wanaoneana aibu...
Hawa tunakoelekea wataelewa tu ,Ni kutoenda uwanjan kabisa lazima akili zitawakaa sawa ,ushikaji umezid Sana hapo Simbaviongoz wanaboa na kwa stail hii hadi kocha itakuwa anapangiwa kikosi hafanyi majukumu yake yaan ile sub ya Boko m sijaielewa kabisa alikuwa anataka nini hasa dah hawa wanataka hadi mashabiki waanze kuandamana watu kutokwenda viwanjani ndiyo wataelewa
Sakho na morison ni viungoKwa hiyo hata mchango wa mshambuliaji hatari kwa sasa pale msimbazi huutambui! Yaani Profesa Sakho! Bado kuna wakili msomi BM3, mshambuliaji katili Kagere, kiungo hatari aliyeko Afcon Banda, nk!
Kwani hao kina mayele,dube wana tofauti gani na kina kagere,mugalu.wote viwango vyao ni sawa wanatofautiana tu mfumo wa uchezaji.Mkuu katika hao wa kimataifa umeona impact yao hadi sasa,
Dube na Mayele walipatikanaje,?
Hakuna namna simba ikatafuta striker wa caliba hizo?
kama nakuelewa hiviWeakness point ya Simba...inawezekana wana share mshahara na wanaofanya maamuzi..Mugalu,Bocco,Kagere watoke wote apatikane striker mmoja
wala kununua mijezi yaoHawa tunakoelekea wataelewa tu ,Ni kutoenda uwanjan kabisa lazima akili zitawakaa sawa ,ushikaji umezid Sana hapo Simba
Ila Yanga wakifungwa bao la mapema huwa nawaaminia sana wataforce mpaka wasawazishe ikiwezekana na kuongeza jingine. I like that fighting spirit!Kwani hao kina mayele,dube wana tofauti gani na kina kagere,mugalu.wote viwango vyao ni sawa wanatofautiana tu mfumo wa uchezaji.
Tatizo la simba sio uduni wa wachezaji kwa maana ya uwezo bali mbinu zakiuchezaji na saikolojia ya wachezaji ndo vitu vinavyoisumbua simba.Bench la ufundi la simba pamoja na kuja kwa kocha mpya ila bado mambo yako vile vile,kwahiyo nadhani kuna shida mahali.
Bench limeshindwa kutumia wachezaji walionao,ndo maana timu imekosa kabisa muunganiko kuanzia katikati hadi mbele na tatizo linaonekana ni jinsi ya mfumo wauchezaji ulivyo.ndo maana timu ikifungwa inashindwa kucame back badala yake zinafanyika sub za ovyo uku wachezaji nao wakicheza kwa presha nakubutua butua tu,nguvu nyingi akili kidogo.Timu imekosa utulivu na muunganiko.
kwahiyo ata ukileta mshambuliaji mwingine mambo yatakua haya haya.
Sent from my SM-A107F using JamiiForums mobile app
Yupo Bocco.Katika kitu ambacho sijaelewa hadi sasa hivi SSC inampango gani pale mbele Ina maana wameridhika na kina Bocco,Mugalu,Kagere na Mhilu??
Mimi nilitegemea mpaka sasa imesasajili mfungaji wa kimataifa pale mbele anayeendana na hadhi ya club.
Watasajili lini mshambukiaji hawa jamaa[emoji848][emoji848]
View attachment 2085176View attachment 2085177View attachment 2085178View attachment 2085179