Bocco huyu huyu aambaye kwa sasa ni butu, akija Yanga utashangaa anageuka kuwa mfungaji bora wa ligi! Simba bhana! Sijui wana gundu gani.Yupo Bocco.
Hicho ndio kitu simba wanakosa.simba haina utulivu na mipango yakiufundi yakurekebisha makosa na kutafuta ushindi.Wao wanachojua nikujaza washambuliaji wengi mbele wakafanye gombania goli.Ila Yanga wakifungwa bao la mapema huwa nawaaminia sana wataforce mpaka wasawazishe ikiwezekana na kuongeza jingine. I like that fighting spirit!
Huyo jamaa ni fundi sana, anajua kuficha mpira, anawatoka mabeki anakosa msaada kwa namba 10 wenu na winga zenu zinazo cheza kistar tu hapewi mpira sehemu sahihi.Si yupo Mshambuliaji wa kimataifa MUGALU.
Unataka nini tena.
Anashambulia na kukaba mabeki.
Huu msimu umeisha tujipange kwa ujao, sioni namna ya kulipunguza hili gape la point tano.
Ishu sio gepu la Point tano.Yan sijui kwann mnajipanikisha bila sababu za msingi. Gap la pointi tano kitu gan???? Daaaaah
Ila mashabiki ni vigeu geu sana waliupenda wimbo wa Chama masikioni mwao kuliko wimbo wowote ule. Chama alivyotangazwa rasmi kurejea kwake tukaona wachambuzi wa mitandaoni walivyotengeneza vikosi vyao vya nguvu huku wakisema mpiga mabao wa Bocco na Kagere karejea ngoja waanze kufunga sasa. Kufungwa mechi moja tu malalamiko yamekuwa kila kona kwa viongozi wa Simba na kwa Pablo. Mimi nadhani kabla ya kuanza kulalamika mngejipa subira muone impact ya chama kwenye kulainisha safu ya ushambuliaji ya SimbaSimba walijisahau sana. Msimu uliopita washambuliaji wao walikuwa wanapata nafasi hata zaidi ya kumi kwa mchezo mmoja wakifunga goli mbili au tatu wanaridhika kabisa na hapo utakuta mara nyingine washambuliaji wakishindwa kufunga viungo au mabeki wao walikuwa wanafunga. Kwa kuwa timu ilikuwa inapata ushindi basi wakawa hawaoni madhaifu ya washambuliaji wao kati namba tisa. Hili liliwapumbaza ndio maana dirisha kubwa na hata dogo hawakuhangaika kutafuta washambuliaji wa maana huiku waliopo wakionekana wameanza kuchoka kutokana na majeraha na umri. Yaani kwa krosi zile za akina Kapombe, Mohamed Hussein, Dilunga, Morison, Bwallya, Sakho na wengineo Simba ingekuwa na mshambuliaji namba tisa mzuri wala wasingekuwa wanapata shida kupata ushinda tena mnono hasa wanapokutana na vitimu vidogo vidogo kama Mbeya City
Mbaya zaidi watu wengi ambao wanaufahamu mpira walishaona hilo tatizo na wengine wakaenda mbali kuwatahadharisha (tena hata hapa jamvini) viongozi juu ya hatari iliyopo iwapo wasingesajili mshambuliaji mwenye uwezo zaidi ya Kagere. Mugalu na Boko. Kwa kuwa ni sikio la kufa maoni hayo yalipuuzwa kwa sababu hakuna mshambuliaji wa maana aliyesajiliwa si dirisha kubwa wala dogo. Kwa hali hii nadhani Simba kwa mwaka huu wameweka rehani ubingwa wao kwani wanapata ushindi kiduchu tena kwa taabu sana.
Hivi kweli benchi la ufundi, kamati ya usajili na viongozi hakukuwa na mtu hata mmoja ambaye aliona umuhimu wa kusajiliwa mshambuliaji namba tisa mwneye uwezo zaidi ya waliopo sasa? Au ndio Mo aligoma kutoa pesa ya usajili? Na lile wazo la kuleta wachezaji wa viungo wafanye majaribio ili wasijiliwe alilileta nani wakati timu ina viungo mpaka wa ziada na mapungufu yapo kwenye ushambuliaji? Na kazi ya "match analyst" bwana Calvin Mavuga ni kuangalia tu timu pinzani ina mapungufu gani au pia kuangalia timu yake ya Simba ina mapungufu gani na kushauri benchi la ufundi na Uongozi nafasi za kuboreshwa?
Ni mtizamo tu.
Tatizo la Simba halikuwa Kwa kiungo mchezeshaji. Chama amerejea kishabiki tu. Ni kama Ronaldo alivyorejea kishabiki Man Utd wakati tatizo la Man utd haikuwa mchezaji Kariba ya Ronaldo.Ila mashabiki ni vigeu geu sana waliupenda wimbo wa Chama masikioni mwao kuliko wimbo wowote ule. Chama alivyotangazwa rasmi kurejea kwake tukaona wachambuzi wa mitandaoni walivyotengeneza vikosi vyao vya nguvu huku wakisema mpiga mabao wa Bocco na Kagere karejea ngoja waanze kufunga sasa. Kufungwa mechi moja tu malalamiko yamekuwa kila kona kwa viongozi wa Simba na kwa Pablo. Mimi nadhani kabla ya kuanza kulalamika mngejipa subira muone impact ya chama kwenye kulainisha safu ya ushambuliaji ya Simba
Kwani Dube na Mayele Wana impact ganiDube na Mayele walipatikanaje,?
Tena kuna muda utajuta kuwafunga watakavyo kushambuliaIla Yanga wakifungwa bao la mapema huwa nawaaminia sana wataforce mpaka wasawazishe ikiwezekana na kuongeza jingine. I like that fighting spirit!
umenigusa hapo kinaumuhimu mkubwa selemani matola kufatiliwa huyu anakula kamisheni kwawachezaji hao sio bure kunakituWeakness point ya Simba...inawezekana wana share mshahara na wanaofanya maamuzi..Mugalu,Bocco,Kagere watoke wote apatikane striker mmoja
Hata kama Chama atakuwepo hilo gap bado lipo tuseme atalipunguza kwa kuwatafunia strikers haya siku kaamka vibaya na team inahitaji matokeo kuna wakat striker huwa anabeba team akipata nafasi anaitumia ipasavyo sio hadi akose nafasi 5 aje kupata mojaIla mashabiki ni vigeu geu sana waliupenda wimbo wa Chama masikioni mwao kuliko wimbo wowote ule. Chama alivyotangazwa rasmi kurejea kwake tukaona wachambuzi wa mitandaoni walivyotengeneza vikosi vyao vya nguvu huku wakisema mpiga mabao wa Bocco na Kagere karejea ngoja waanze kufunga sasa. Kufungwa mechi moja tu malalamiko yamekuwa kila kona kwa viongozi wa Simba na kwa Pablo. Mimi nadhani kabla ya kuanza kulalamika mngejipa subira muone impact ya chama kwenye kulainisha safu ya ushambuliaji ya Simba