Simba SC kwanini haijasajili Mshambuliaji mpaka sasa?

Simba SC kwanini haijasajili Mshambuliaji mpaka sasa?

Hayo ndio maajabu.
Yaani Simba ina washambuliaji zaidi ya watano tena wakimataifa, lakini kuna shabiki anataka Simba inunue washambuliaji wengine, sijui ili iwaje?
mchangao kama huu unatia hasira na kuchekesha kwa wakati mmoja. mkuu sijui kama unaelewa kinachozungumziwa au kulalamikiwa
 
Wana Simba tukubali tu ukweli huu mchungu kuwa huu msimu sisi sio mabingwa na Kuna viongozi Wana mahusiano ya moja kwa moja na baadhi ya wachezaji ndio maana kufanya maamuz kwa ajili ya timu hawawezi wanaoneana aibu. Mfano bocco naamin kuna kiongozi wanapasuka mshahara wake .

Mugalu nahisi Kuna kiongozi mkubwa anamkumbatia kwa Sabab anazozijua yeye na anajua anavyofaidia na huyo mchezaji asiye na maajabu.

Wangekuwa serious ilipaswa mugalu atoke aletwe striker wa kimataifa Tena wa Bei ya kueleweka ,pia bocco wangekaa nae meza moja angebak technical bench akaletwa mzawa ambae sidhan km angeikost pakubwa timu yetu.

Kagere angebak kusaidiana na hao wawil wapya wa uhakika sio mugalu na bocco.

Simba saiz imejaa siasa Sana kuliko uhalisia ,kelele nyingi mwisho wa siku wanasajir mchezaji mmoja ,kmmk zao
 
Wana Simba tukubali tu ukweli huu mchungu kuwa huu msimu sisi sio mabingwa na Kuna viongozi Wana mahusiano ya moja kwa moja na baadhi ya wachezaji ndio maana kufanya maamuz kwa ajili ya timu hawawez wanaoneana aibu...
viongoz wanaboa na kwa stail hii hadi kocha itakuwa anapangiwa kikosi hafanyi majukumu yake yaan ile sub ya Boko m sijaielewa kabisa alikuwa anataka nini hasa dah hawa wanataka hadi mashabiki waanze kuandamana watu kutokwenda viwanjani ndiyo wataelewa
 
Hawa tunakoelekea wataelewa tu ,Ni kutoenda uwanjan kabisa lazima akili zitawakaa sawa ,ushikaji umezid Sana hapo Simba
 
Kwa hiyo hata mchango wa mshambuliaji hatari kwa sasa pale msimbazi huutambui! Yaani Profesa Sakho! Bado kuna wakili msomi BM3, mshambuliaji katili Kagere, kiungo hatari aliyeko Afcon Banda, nk!
Sakho na morison ni viungo
 
Mkuu katika hao wa kimataifa umeona impact yao hadi sasa,
Dube na Mayele walipatikanaje,?
Hakuna namna simba ikatafuta striker wa caliba hizo?
Kwani hao kina mayele,dube wana tofauti gani na kina kagere,mugalu.wote viwango vyao ni sawa wanatofautiana tu mfumo wa uchezaji.

Tatizo la simba sio uduni wa wachezaji kwa maana ya uwezo bali mbinu zakiuchezaji na saikolojia ya wachezaji ndo vitu vinavyoisumbua simba.Bench la ufundi la simba pamoja na kuja kwa kocha mpya ila bado mambo yako vile vile,kwahiyo nadhani kuna shida mahali.

Bench limeshindwa kutumia wachezaji walionao,ndo maana timu imekosa kabisa muunganiko kuanzia katikati hadi mbele na tatizo linaonekana ni jinsi ya mfumo wauchezaji ulivyo.ndo maana timu ikifungwa inashindwa kucame back badala yake zinafanyika sub za ovyo uku wachezaji nao wakicheza kwa presha nakubutua butua tu,nguvu nyingi akili kidogo.Timu imekosa utulivu na muunganiko.

kwahiyo ata ukileta mshambuliaji mwingine mambo yatakua haya haya.

Sent from my SM-A107F using JamiiForums mobile app
 
Pamoja na nyuzi zote zilizojaa kuikashfu Yanga bado kuna watu wanaishi na manung'uniko ya timu yao kuwa mbovu.
 
Tunapumzika Kwanza
Screenshot_20220117-215532.png
 
Kwani hao kina mayele,dube wana tofauti gani na kina kagere,mugalu.wote viwango vyao ni sawa wanatofautiana tu mfumo wa uchezaji.

Tatizo la simba sio uduni wa wachezaji kwa maana ya uwezo bali mbinu zakiuchezaji na saikolojia ya wachezaji ndo vitu vinavyoisumbua simba.Bench la ufundi la simba pamoja na kuja kwa kocha mpya ila bado mambo yako vile vile,kwahiyo nadhani kuna shida mahali.

Bench limeshindwa kutumia wachezaji walionao,ndo maana timu imekosa kabisa muunganiko kuanzia katikati hadi mbele na tatizo linaonekana ni jinsi ya mfumo wauchezaji ulivyo.ndo maana timu ikifungwa inashindwa kucame back badala yake zinafanyika sub za ovyo uku wachezaji nao wakicheza kwa presha nakubutua butua tu,nguvu nyingi akili kidogo.Timu imekosa utulivu na muunganiko.

kwahiyo ata ukileta mshambuliaji mwingine mambo yatakua haya haya.

Sent from my SM-A107F using JamiiForums mobile app
Ila Yanga wakifungwa bao la mapema huwa nawaaminia sana wataforce mpaka wasawazishe ikiwezekana na kuongeza jingine. I like that fighting spirit!
 
Back
Top Bottom