OKW BOBAN SUNZU
Platinum Member
- Aug 24, 2011
- 53,868
- 121,001
- Thread starter
-
- #21
Mkuu Chama ana mengi anajua kuhusu RB. Unadhani hana cha kushauri technical bench na kwa wenzie? Sio RB tu,bali ana jua mengi kuhusu international gamesChama anaenda huko kufanya nini kama hatacheza? hiyo nafasi yake si bira angepewa mtoto mmoja wa U23 akajifunze chochote?
Mabichwa maji.CAF wanaiga kila kitu toka UEFA, sijui vichwa vyao huwa vinawaza kitu gani.
Kabisa. Hata hamasa kwa wenzie kabla na wakati wa mechi.Mkuu Chama ana mengi anajua kuhusu RB. Unadhani hana cha kushauri technical bench na kwa wenzie? Sio RB tu,bali ana jua mengi kuhusu international games
Vyuma chakavuTanzaniaβs representative in the CAF Confederation Cup groups stage, Simba SC, will miss the services of three key players in their second encounter against Union Sportive Gendarmerie Nationale (USGN) to be held in Niger on Sunday.
The players are Chriss Mugalu, Hassan Dilunga and Kibu Dennis according to the member of Simba directorate, Mulamu Ngβambi.
The clubβs squad will leave for Niamey ahead of the encounter to be held at Stade GΓ©nΓ©ral Seyni Kountche, starting from 9pm Tanzanian time. Ngβambi said some of the players are still nursing injuries sustained in various matches of the Mainland Tanzania Premier League as well as Azam Federation Cup.
But, Sadio Kanoute and Pape Ousmane Sakho - who were injured in the CAF Confederation Cup first leg match against Asec Mimosa - have recovered and will be on the team.
Also in the list is Bernard Morrison - who did not feature in the first match as he was under an indefinite ban for indiscipline. Simba leaders have also included Clatous Chama for the trip despite the fact that the Zambian midfielder will not playin the match due to CAF rules and regulations.
Chama had already featured in the competition against RS Berkane of Morocco, and CAF regulations do not allow a player to feature in a competition for two different club teams.
Yes wakitoka Niger wanaelekea Morocco.Lakini wanaanza na Wanaija. Inammana wakitoka huko watanyoosha mpaka Morrocco?
hii ndo tofauti ya timu ya Simba na timu za matakataka ya kwenye mafuriko huko.
malalamiko f.c povu ruksa[emoji23][emoji23]
Kila la heri mnyama Simba.
Tutarajie aibu kubwa sana toka kwa Makolo katika mechi hizi mbili
Kocha wao Pitso alishukuru Sana kutokuwepo Simba Caf champion LiegeDπππ:[emoji23][emoji23]
zile zama zishapita.
fikiria Al Ahly wamechinja nyama wanagawa kila nchi mpaka mkoa wa Kilimanjaro huko nyama zimefika,lengo la Al Ahly ni kimshukuru mungu kwa Simba kutolewa mapema CAFCL.
tehe,,tehe,,tehe.
Hivi ligi yetu ya NBC/GSM Premier League itakuwa imesimama kuwasubiri hawa jamaa au?Tunafungua ule ukarasa wa Simba kupigwa hamsa.
Ligi inaendelea,kitakachotokea ni malalamiko f.c kulalama hovyo kuhusu viporo vya Simba.Hivi ligi yetu ya NBC/GSM Premier League itakuwa imesimama kuwasubiri hawa jamaa au?
ZBC2 kupitia Azam wataonyeshaHii mechi itaonyeshwa??
Dua la kuku!Tutarajie aibu kubwa sana toka kwa Makolo katika mechi hizi mbili
Mkuu, CCC hatocheza mechi zote za Simba group stage kwa sababu tayari RS Berkane walishawasilisha jina lake CAF katika orodha ya wachezaji wao. Kama Simba ikifanikiwa kuvuka kwenda hatua inayofuata basi wataruhusiwa kumtumia Chama... Nafikiri wanasafiri nae ili asiachwe nyuma kwenye program za mwalimu isije kufika kipindi anahitajika kutumika anakua kama mgeni kikosini.Chama anaenda huko kufanya nini kama hatacheza? hiyo nafasi yake si bira angepewa mtoto mmoja wa U23 akajifunze chochote?