Simba SC Kwenye Mazungumzo Mchana Huu na Mchezaji Aliyeachwa na Yanga Sadio Ntibanzokiza

demigod

JF-Expert Member
Joined
Jan 2, 2015
Posts
8,292
Reaction score
15,250
Mazungumzo yameanza muda huu mchana katika ofisi za MeTL.

Simba wanataka kuimarisha eneo lililo achwa wazi na Super Ben.
 
Mazungumzo yameanza muda huu mchana katika ofisi za MeTL.

Simba wanataka kuimarisha eneo lililo achwa wazi na Super Ben.
Wewe jamaa mwongo na mzushi sana sijui kwa nini mods hawakupigi ban kwa kuleta habari za uwongo humu.
 
Saidoo mchezaji mzuri sana iwapo akipata muunganiko wa timu na wakuchezeshana nae ila huko Kolo FC huo muunganiko haupo hivyo ata flop kama ilivyotokea kwa Morrison. Nae atarudi tu Yanga one day.
Hivi si walisema Saidoo kasaini Singida Big Stars?
 
Wewe jamaa mwongo na mzushi sana sijui kwa nini mods hawakupigi ban kwa kuleta habari za uwongo humu.

Mods wananifahamu mimi ni nani.

Ni vigumu kwako wewe kunifahamu vyema.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…