Simba Sc Mabingwa wa Nchi, waingia kambini-Simba Day Another Level

Simba Sc Mabingwa wa Nchi, waingia kambini-Simba Day Another Level

OKW BOBAN SUNZU

Platinum Member
Joined
Aug 24, 2011
Posts
53,868
Reaction score
121,001
117814593_1682168861942122_3383931869622630509_o.jpg

118003737_1682168751942133_2238481162066115926_o.jpg

Aisee! Mabingwa wa nchi!? Hadi ubingwa wa Zanzibar wamechukua!

.
 
Karia ajitafakari, haiwezekani mashitaka yapelekwe ligi bado mbichii afu eti unaanza kusikiliza shauri ligi ishaisha, hii akili au matope! Na mwaka huu tff na simba yenu ligi ya mabingwa mnatolea hatua za awali tu!

Hukumu mmeshapewa,mnasubiri nini kwenda CAS?
 
hawa jamaa wa utopoloni nadhani wameenda kuuza magodoro DRC maana zimebaki siku 20 ligi ianze hawajaanza mazoezi dirisha dogo watu wanarudishwa walikotoka
 
Karia ajitafakari, haiwezekani mashitaka yapelekwe ligi bado mbichii afu eti unaanza kusikiliza shauri ligi ishaisha, hii akili au matope! Na mwaka huu tff na simba yenu ligi ya mabingwa mnatolea hatua za awali tu!
Umeiona barua ya TFF, ?
 
Simba ndo timu pekee hapa bongo yenye washabiki wenye afya na maisha bora.
Achana na manyani wanakonda kila siku kwa stress.
 
MO, Diamond na Haji manara watakua live kwenye kipindi cha Sport Arena kuanzia saa 8:30
 
Back
Top Bottom