OKW BOBAN SUNZU
Platinum Member
- Aug 24, 2011
- 53,868
- 121,001
Kuna timu wanafoka foka hata kocha hawana, ili wakianza kufungwa waanze kuwabebesha lawama TFF
View attachment 1540316
Hii timu imekata network
hilo walishalalamika,kuna mmoja alipost picha ya Mo na Rais wa CAF akawashauri Yanga wasihangaike kukata rufaa eti Mo kashafitiniTeam Malalamiko,usishangae na hao CAS wakalaumiwa hata kabla hawajapeleka hiyo Rufaa
Acheni kujaza wazee nyie jamaa! Msije mkasababisa wakafa uwanjani buree
Wana vituko sana.Acheni kujaza wazee nyie jamaa! Msije mkasababisa wakafa uwanjani buree
Karia ajitafakari, haiwezekani mashitaka yapelekwe ligi bado mbichii afu eti unaanza kusikiliza shauri ligi ishaisha, hii akili au matope! Na mwaka huu tff na simba yenu ligi ya mabingwa mnatolea hatua za awali tu!View attachment 1540316
Hii timu imekata network
Karia ajitafakari, haiwezekani mashitaka yapelekwe ligi bado mbichii afu eti unaanza kusikiliza shauri ligi ishaisha, hii akili au matope! Na mwaka huu tff na simba yenu ligi ya mabingwa mnatolea hatua za awali tu!
Inaenda soon!Hukumu mmeshapewa,mnasubiri nini kwenda CAS?
Umeiona barua ya TFF, ?Karia ajitafakari, haiwezekani mashitaka yapelekwe ligi bado mbichii afu eti unaanza kusikiliza shauri ligi ishaisha, hii akili au matope! Na mwaka huu tff na simba yenu ligi ya mabingwa mnatolea hatua za awali tu!
Payrol nishapost teyali mzee hii habari.MO, Diamond na Haji manara watakua live kwenye kipindi cha Sport Arena kuanzia saa 8:30