Simba SC 'mambumbumbu' acheni kelele ndiyo kwanza ligi imeanza

Simba SC 'mambumbumbu' acheni kelele ndiyo kwanza ligi imeanza

moniccca

JF-Expert Member
Joined
Nov 15, 2015
Posts
2,383
Reaction score
3,285
Yaani nyie watu aliyewaita mambumbumbu anawafahamu vzr sana, maana mnadhani kwa kushinda mechi moja ndiyo tayari mmeshakuwa mabingwa.

Hata kama mnaulimbukeni wa kombe la ligi kuu lkn si kwa kelele hizo...

Timu yenyewe mliocheza nayo ilikuwa ni second eleven lkn hamuishi kujisifia ujinga!

Huyo mkongwe okwi sijui nani alibahatisha tu , hana lolote jipya...

Kaeni kimya wekeni akiba ya maneno ligi ndiyo kwanza imeanza
 
Yaani ukweli ni kwamba Yanga ni timu ya wastaarabu na watu wenye ufahamu mkubwa sana maana Hudumu ktk mikakati ya kufanikisha ubingwa lkn mambumbumbu fc wenyewe huishia kupiga kelele wakiongozwa na Manara
 
Umenena vyema mkuuu
 
Hata haueleweki unachojadili ni nini. Timu inawezaje kuwa na ulemavu kwenye vichwa vya mashabiki? Kwanza vua hicho kikuku
Wewe unaeleweka? Ulikimbilia FIFA kudai points tatu ambazo ulifungwa na kagera goli 2-1, ukagomea taji la ushindi wa pili wa ligi kuu, ukakubali kucheza na bigwa wa ligi kuu usiyo mtambua..niambie nani hapo haeleweki?
 
Back
Top Bottom