Amewaambia ukweli...emu tupe taarifa juu ya rufaa yenu ya FIFA kwanzaMkuu, mbona kama umepaniki?
Ni kweli kuwa ligi imeanza. Au wewe ulifikiri Lipuli hawajaanza ligi?... ligi ndiyo kwanza imeanza
Hata haueleweki unachojadili ni nini. Timu inawezaje kuwa na ulemavu kwenye vichwa vya mashabiki? Kwanza vua hicho kikukuBila shaka timu yenu inaulemavu mahali Fulani hasa hasa kwenye vichwa vyenu
Wewe unaeleweka? Ulikimbilia FIFA kudai points tatu ambazo ulifungwa na kagera goli 2-1, ukagomea taji la ushindi wa pili wa ligi kuu, ukakubali kucheza na bigwa wa ligi kuu usiyo mtambua..niambie nani hapo haeleweki?Hata haueleweki unachojadili ni nini. Timu inawezaje kuwa na ulemavu kwenye vichwa vya mashabiki? Kwanza vua hicho kikuku