Ikisha kuuzwa, mkwanja wagawiwe wanachama wepi wa Simba ........ Friends of Simba, wenye kadi zilizomweka Aveva madarakani, Simba Ukawa, Mpira Pesa, walio kwenye daftari la Hassan Dalali, yeyote aliye na kadi yoyote ya Simba ..... wepi? Nadhani hilo ni swala gumu zaidi kujibika kuliko la iwapo iuzwe ama la.