OKW BOBAN SUNZU
Platinum Member
- Aug 24, 2011
- 53,868
- 121,001
Klabu ya Simba ilijiwekea utaratibu wa kutunza mchezaji bora wa kila Mwezi na pia wa Msimu.
Msimu uliopita ulishuhudia mchezaji Mohammed Hussein " Zimbwe Jr " akiibuka na mchezaji bora wa Msimu wa mashabiki wa Simba. Tunzo hizi sasa zitaitwa Simba App player of the month.
Pia katika siku za karibuni mashabiki wa Simba watachagua mchezaji bora wa mechi. Simba ndio timu pekee Tanzania yenye utaratibu huu. Tunaomba mashabiki na wapenzi mshiriki kwa wingi kuchagua. Kuchagua ingia link hii Simba SC Tanzania
Maoni yangu
Kati ya Mohammed Ibrahimu na Emmanuel Okwi mmoja anastahili. Mfano Okwi mechi moja kafunga goli nne,katika mechi 10 anaweza kufunga goli 40!Mo Ibrahim kazi yake inajulikana,anajituma na kufanya assist nyingi sana