Mganguzi
JF-Expert Member
- Aug 3, 2022
- 1,604
- 3,715
Nimemaliza Sina mengi viongozi wa Simba dharau ndio Zinawaponza mara zote ! Mfano benno ni Bora mara kumi ukimtoa Aishi na huyu wa gorilla wa yanga
wengine wote hakuna wa kimfikia benno kakolanya ..Sasa hivi tuna mashindano magumu Sana mwezi oktoba alafu kipa mnabahatisha ,chukueni juma kaseja Bado ana uwezo mara elfu ya hao mnaopapalika nao !