OKW BOBAN SUNZU
Platinum Member
- Aug 24, 2011
- 53,868
- 121,001
Wakuu wakati ligi ya VPL ikiendelea ni vyema kuweka kumbukumbu muhimu hasa kuhusu timu inayotajwa kuchukua ubingwa kabla ya ligi kwisha.
Simba Sc Mnyama mkubwa Mwendo Kasi 4G amekuwa na rekodi chafu sana katika ligi inayoendelea.
Kwa muhutasari tu ni kwamba Taifa Kubwa tumeshacheza mechi 12 mpaka jana. Katika mechi hizo tumeruhusu goli 2 tu na moja la mkono lilofanywa na ndugu zetu wa Yanga.
Tayari tumeshinda mechi 10 na kutoa suruhu mechi 2.Tumefunga magoli 24 na mchezaji bora kabisa Shiza Kichuya akiongozo kama mfungaji bora.
Kwa maneno mengine Simba ina kipa bora,beki bora,mido bora,na fowadi hatari.Simba ndio timu pekee isiyochagua uwanja wa kuchinjia.
........itaendelea. Yanga tunaikamatia chini