Simba SC mmejipigia Yanga SC vya kutosha, sasa tupigie Azam FC

OKW BOBAN SUNZU

Platinum Member
Joined
Aug 24, 2011
Posts
53,868
Reaction score
121,001
Kama mnavyofahamu katika mechi tatu za hivi karibuni Simba imeifunga Yanga mara zote tatu, mara mbili Yanga ikifungwa goli 5 na mara moja ikifungwa 2 kwa 1.

Kwa hiyo Simba SC mmeshapigia Yanga vya kutosha sasa tunawataka vijana wa kazi watupigie Azam kama mechi ijayo ya VPL.

Simba ndiyo timu ya kiwango cha juu cha soka kwa sasa, na ndiyo timu ambayo mashabiki wake wapo katika ari ya juu kuliko timu zote-SIMBA NGUVU MOJA. Hatuna sababu ya kufungwa na timu yeyote hapa Bongo.

Simba ni yenye kipa bora-Tanzania One Aishi Manula

Simba ni yenye mabeki bora-Mwanjali, Zimbwe, Juuko, Nyoni, Mbonde nk

Simba ni yenye mido wa kiwango cha juu-Niyonzima, Ndemla, Mzamiru nk

Simba ni timu yenye fowadi wa ajabu kushinda timu yeyote. Wakati Ruvu Shooting ikiifunga Yanga goli 1, Ruvu Shooting ilipigwa wiki na Simba.

Simba Nguvu Moja.
 
unajua kitakwimu ni Nani amending mwenzake mara nyingi Kati Ya hizi timu mwili? Au unaropoka tu.
 
Mimi nimetaja mechi tatu za hivi sasa,mmepigwa 5,mkala 2 na juzi mkala 5,

Tunataka ifike wakati mgome kutia timu uwanjani kama mlivyochomoa mtani jembe
 
и∂σ ωαℓє ωαℓє,, иα ωω υтσ¢нєℓєωα кυѕємα мαfιѕαиgσ уυкσ нαι αиαfαиуα мαZσєZ уα νιυиgσ иα кωєиує gαмє ιנαуσ nα αZαм αтαкυωєρσ

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Okwi leo kaumia kwenye mechi yao ya taifa Uganda vs Misri,I wish apone haraka maana tukimkosa mechi ya azam ni ishu
 
Mimi nimetaja mechi tatu za hivi sasa,mmepigwa 5,mkala 2 na juzi mkala 5,

Tunataka ifike wakati mgome kutia timu uwanjani kama mlivyochomoa mtani jembe
Unapaswa utambue. Nini lengo la klabu yako?

Kumfunga Yanga au Kuwa Bingwa wa VPL? Unayap yap kumfunga Yanga mechi tatu ikiwa misimu yote hiyo Yanga kabeba ndoo ya VPL.
 
Hakuna wa kutuzuia mwaka huu

Simba SC.. Mnyama Mnyamani
 
Back
Top Bottom