Simba SC, mnacho cha kujifunza kwa KVZ FC

Megalodon

JF-Expert Member
Joined
Apr 9, 2021
Posts
3,534
Reaction score
7,866
Hawa vijana wanahitaji UONGOZI bora na SUPPORT ikiwemo financial .

Kama kuna TAJIRI anahitaji kuwekeza kwenye mpira , KVZ ni sehemu sahihi.

Laiti SSC ikingekuwa inacheza kwa spirit ya hawa wachezaji wa KVZ ingekuwa ni balaa.

Walikosa utulivu wa kumalizia tu, otherwise YANGA ilikuwa afe sio goli chini ya 3.

SSC Inahitaji beki yenye ushirikiano na spirit kama KVZ, kuna haja hii mechi aione kocha wa SSC.

Umepigwa mpira kweli kweli yani ngingii ngi , kama wangekuwa na utulivu pale mbele……. Tungesema mengine.

Kwanza vijana hawakabii kwa macho, yaani ukiingia kwa Line yao tu, wana kublock, sio SSC wachezaji watamsindikiza mshambuliaji hadi eneo la hatari.

Kazi kukomaa chama chama, kumbe kuna vijana huko kwa Mama Kizimkazi ni balaa

Kuna haja ligi ya bara na unguja iwe ni ligi moja ili timu kama hizi ziwe supported.

Umepigwa mpira kweli kweli Leo , hamna kuzoeana

Salute to KVZ, mliushika mpira watoto wa Mama Kizimkazi
 
Imekosa magoli matatu at the same time uanataka tuchukue ushauri wake?

Unaiona imecheza vizuri kwasababu imekutana na mpinzani wa standard yake. Mbinu za kumkabili Gongowazi huwezi ku apply kwa Wydad utachekwa

Ebu tufikirie hili kidogo.....unaishaurije Simba ambayo ni ya 7 Africa kuwa ichukue ushauri kutoka timu ambayo hata CAF hawaijui?

Hivi watani zetu Al Ahly watajiskiaje? Imagine that

Mi nadhani huu ushauri ungepaswa kuwafaa wale wenzao waliotoa nao sare wakautumie kujirekebisha kwa wenzao huko kwenye hatua zinazofuata ili wafike robo
 
Umeandika gazeti, lakini kwa ufupi unataka kupoteza lengo kuwa KVZ wamenyimwa penati 😁
 
Hao wenzao watapokeaje ushauri wakati walikulala tano
 
Mlivyofungwa tano mli apply mbinu kutoka wapi? Au mmeshajisahau mlisifiana kwa objective football, Robertinho hajawahi fungwa na Yanga, Robertinho ana unbeaten ngapi mara ghafla tu mkapoteana na kushikana uchawi kwa kipigo cha goli tano.
 
Yote kwa yote unaona hayo kwasababu ya aina ya wachezaji ambao Gamondi kawapanga leo, sidhani kama wangeweza kushikilia bomba kwa kikosi kamili cha Yanga.
 
Yote kwa yote unaona hayo kwasababu ya aina ya wachezaji ambao Gamondi kawapanga leo, sidhani kama wangeweza kushikilia bomba kwa kikosi kamili cha Yanga.

Mambo ya kikosi ni maelezo ya ziada

Sisi tunajua imecheza Yanga

Si mmesajili hao wachezaji
Si mnawalipa

Nani hayupo kwa mfano ambae ni special ?

Stop excuses
 
Yote kwa yote unaona hayo kwasababu ya aina ya wachezaji ambao Gamondi kawapanga leo, sidhani kama wangeweza kushikilia bomba kwa kikosi kamili cha Yanga.
Sisi tunachojua aliyecheza ni Yanga hizo zingine porojo tu hata mgechezesha kikosi cha 50

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hao wenzao watapokeaje ushauri wakati walikulala tano

Mlivyofungwa tano mli apply mbinu kutoka wapi? Au mmeshajisahau mlisifiana kwa objective football, Robertinho hajawahi fungwa na Yanga, Robertinho ana unbeaten ngapi mara ghafla tu mkapoteana na kushikana uchawi kwa kipigo cha goli tano.
Hivi kama unafikiri ni jambo la kawaida kwanini kila muda mnasema goli 5?

Kwanini baada ya kunifunga hizo goli 5 uliweka mabango mji mzima?

Hayo yote hayawezi kufanyika ikiwa kama ni desturi yako kupata ushindi huo kwa timu hiyo.

Hayo yote hayawezekani kufanywa na timu kubwa baada ya kuifunga timu ndogo.

Ili hayo yote yawezekane na ku sound kuwa ni logical inatakiwa hadhi ya Club yako iwe ni ndogo na unafanya hivyo kama historia kuwa unasheherekea bahati yako kwa kupata ushindi mkubwa dhidi ya timu kubwa iliyokuzidi.
 
Yote kwa yote unaona hayo kwasababu ya aina ya wachezaji ambao Gamondi kawapanga leo, sidhani kama wangeweza kushikilia bomba kwa kikosi kamili cha Yanga.
Hili kombe halina maana yoyote Hata kina lomalisa wamekuwa waangalifu kuumia .
Unaweza kupoteza wachezaji muhimu eti unagombania kombe la mapinduzi , ni siasa Tupu .
Bora yanga warudi Daressalaam hakuna maana yoyote kushindania kombe lisilojulikana nje ya visiwani zanzibar .
Angalia okra amengia na kuumia akishindania kombe la mapinduzi !
 
Bora yanga warudi Daressalaam hakuna maana yoyote kushindania kombe lisilojulikana nje ya visiwani zanzibar .
Angalia okra amengia na kuumia akishindania kombe la mapinduzi !
Hakuna kurudi hadi upate kichapo kikubwa
 
Yaani nyie mkishashiba mihogo mnaropokwa tu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…