Saguda47
JF-Expert Member
- May 1, 2016
- 11,258
- 20,386
Nimekuwa mfuatiliaji wa ligi kuu ya NBC, mpaka Sasa nakiri kuwa huyu kijana Mganda anayecheza klabu ya Tabora United aitwaye JOHN BEN NAKIBINGE ni kiungo Bora wa ushambuliaji.
Anafaa kuwa hapo SIMBA SC maana anajituma, akili ya mpira na ana kasi sana.
Mpka Sasa ana goli 3 na assist 1 katika mechi chache alizocheza.
Kwa kuzingatia level ya timu aliyopo, bila shaka ana kitu Cha kutusaidia Msimbazi.