Kibu Denis, Ibrahim Bacca, Zimbwe Jr, Dickson Job n.kKitu ambacho unatakiwa ukumbuke pia ni kwamba Mchezaji anaweza kukiwasha akiwa timu ndogo hizi.Ila akija kwa Hawa majabali Simba na Yanga anafeli kwa sababu ya presha kubwa kupitiliza iliyopo.
Bado hatujamsahau Victor Akpan.
Na kuna yule Mkongoman namba 6Tabora United kuna vipaji vya maana,... viongozi wa Simba wangechungulia pale kuna Midfielder wao anaitwa NAJIM MUSA ni kipaji cha maana tena Mtanzania Tu....
Huyo noma sana.Tabora United kuna vipaji vya maana,... viongozi wa Simba wangechungulia pale kuna Midfielder wao anaitwa NAJIM MUSA ni kipaji cha maana tena Mtanzania Tu....