Simba SC Msimu ujao wa Dirisha la Usajili tusiuingie tena huu Mtego mkubwa na wa Akili wa Yanga SC sawa?

GENTAMYCINE akiandika hivi, ujue hapo tayari amesha andaa nyuzi tatu za kuishambulia Yanga na wachezaji wake😃😃
 
Wakiongozwa nami GENTAMYCINE na nadhani Kipindi kile nilikuwa Nimerogwa na Uongozi. Mnisamehe tu.
AIsee, this is too much, ila I repeat, Yanga kuweni makini jamaa ana warushieni mahindi ili awajaze kwenye tenga halafu alifunike na kuwakamateni kama kuku.
Shauri yenu, msije mkasema hamkuambiwa😃
 
Una hoja..
Mwandiko safi, Aya umezipangilia vyema...

Ila ikikupendeza kazania sana matumizi sahihi ya "L" na "R" Ni usajili na siyo usajiri...
 
Kwanza na msemaji wenu Ahmed Aly ni bogus tu, ni very unprofessional maana uwezi kusimama mbele ya vyombo vya habari unajitapa eti tumewanyanga'nya mchezaji airport,,ni aibu kubwa kwa maana uyo scout mliyemuajiri kazi yake ni nini? Kazi yake ni kukaa airport kusubilia wachezaji wa timu nyingine ili awaibe? Kwanza izo pigo za kunyang'ana wachezaji zilikuwa za kizamani sidhani kama mchezaji anayejitambua na wakala wake asafiri kutoka nchi nyingine bila kuwa na connection yoyote na timu inayomhitaji, ni ngumu sana,,,
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…