Simba SC Msimu ujao wa Dirisha la Usajili tusiuingie tena huu Mtego mkubwa na wa Akili wa Yanga SC sawa?

AIsee, this is too much, ila I repeat, Yanga kuweni makini jamaa ana warushieni mahindi ili awajaze kwenye tenga halafu alifunike na kuwakamateni kama kuku.
Shauri yenu, msije mkasema hamkuambiwa😃
Una Akili sana Wewe Jamaa. Hongera.
 
Ngoma
Mzamiru
Kanoute...
Ni Aina moja ya wachezaji hawawezi kuforce kwa Kasi.

1.Saido.. until umemuacha anapaswa acheze dk 45 tu,
2.Chama... Umri pia anakuwa bora timu ikiwa na mpira tu.
3.Onana..... ni afadhali na okrah hamna kitu.

Kapombe,Zimbwe wanahitaji kupata mbadala wamechoka Sana... Ndiko limekuwa tatizo la kufungwa.

sisi Simba tunaamini yanga anachezea na timu dhaifu.
 
Walioko Simba Sasa hivi hawana uwezo was kusajili.
Simba toka ukiwa na pesa za kuunga ilikuwa inasajili wachezaji wazuri Ila Sasa hivi ama uwezo mdogo au au ten percent.
Ukiangalia timu ya vijana wamejaa vijana wasio na vipaji.
Ukija timu ya wakubwa usajilu unafanywa bila kuzingatia mahitaji ndio maana unakuta nafasi moja zinejaa watu wengi wakati nafasi nyingine zinakosa wabadala.
Tuna mawinfa wengi lakini hakuna mbadala was shabalala na kwa wachezaji wa ndani wanaosajiliwa wengi uwezo wao ni was kawaida na tumebaki na wachezaji ambao mchango ni mdogo Sana pia kubaki na wachezaji wazee.
 
Ila we jamaa...ni mwandishi mzuri sana ila akilizako unazijua mwenyewe....
Hahahahahahahahahahahahahahahaha....
Kwamba mganga kafanya kazi yake ipasavyo..lasivyo 5 zingewahusu mapeema.
 
Kuna trick Moja hivi Eng Hersi inaitumia ambyo inatumika sana kwenye minada , Ukifika dukani labda la nguo ukakuta Kuna nguo A na B na wewe ukawa umevutiwa mfano na nguo A basi wewe Cha kufanya onyesha interest ya kununua nguo B.

Hapo utakuwa umefanikiwa kumuingiza chaka muuzaji atapandisha bei akiamini umeipenda na utaichukua Kwa bei yeyote ,akipanda sana jifanye umeshindwa bei chukua nguo yako A kiukaini tena huku unajifanya unachukua kishingo upande.

Hersi kawaingiza chaka simba
 
Point nilishangaa simba kujisifu kuiba mchezaji airport hii inaonesha hakuwa kwenye malengo ya kocha bali walimchukua kuwakomoa yanga, huu ni upumbavu
Tena upumbavu uliopitiliza, na naamini baadhi ya 'nataicoon' wa simba hawakufurahishw na hicho kitu wengi wanasubiri muda ufike watoe ya rohoni.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…