Simba SC Msimu ujao wa Dirisha la Usajili tusiuingie tena huu Mtego mkubwa na wa Akili wa Yanga SC sawa?

Na ole wake nisikie mtu akim refer GENTAMYCINE kama popoma.

CC:
Ngalikihinja
 
Mtani kwa yanga hii kila goti litapigwa na vinywa vyote vitakiri kuwa yanga ndiyo timu Bora afrika ya mashariki na kati. Ngoja kwanza mkatie aibu supercup. Kama kawaida yenu kombe lenu la kufa kiume lipo.
 
kuna tatizo pale Simba kuanzia msemaji wa timu, benchi zima la ufundi, kamati ya usajili wanakula posho za bure tu. Usajili ulifanyika kishabiki na sio kitaalam
Naungana na wewe kwenye hili. Simba ni timu pekee kwenye ligi Kuu iliyotangaza kuajiri mtaalamu wa scouting. Hivi ni yeye aliyeshauri wakaibe mchezaji Airport?
 
Aahaaaaaaa
 
Umri wako na unachoandika vinaenda njia tofauti... ni hayo tu!!
 
kuna tatizo pale Simba kuanzia msemaji wa timu, benchi zima la ufundi, kamati ya usajili wanakula posho za bure tu. Usajili ulifanyika kishabiki na sio kitaalam
Ukiulizwa sababu utasema sababu uto wameshinda goli tano..
Simba imeanza kuwa na mashabiki vichwa maji wengi sana sijui tatizo ni uto au kuna kingine...
 
Umeongea kwa uchungu sana.

Pole.
 
kwa pira lileeee. timu ya yanga itaonekana inacheza na timu dhaifu zote. wewe mwenyewe ulichomekwa viwili ila mshukuru refa tu. mana hamsa zilikuwa zaja
 
Mdogo wangu popoma upo?
 
Jambo wasilolijua Simba ni hilo ulilolisema , Yanga ni wa kuogopa sana wakati wa usajili bila shaka wanatumika na mawakala wa wachezaji kuwapaisha wachezaji wao ili wasajiliwe Simba kwa mtego.
 
Hapa ndipo nilipowaona Simba ni Mazuzu kabisa pamoja na Msemaji wao
 
kuna tatizo pale Simba kuanzia msemaji wa timu, benchi zima la ufundi, kamati ya usajili wanakula posho za bure tu. Usajili ulifanyika kishabiki na sio kitaalam
Simba tatizo ni benchi la ufundi kumwamini Bocco katika mpira huu wa Leo!

Bocco hata akicheza Ihefu ataanzia benchi au asipate namba kabisa
 
Muda ukifika msibadili stori. Nina hakika simba makosa waliyafanya tu kwenda kupiga kambi nje ya nchi bila kocha . Walitumia muda mwingi kusafiri badala ya mazoezi huku wachezaji wakienda kwa mafungumafungu .

Hali hiyo ilipelekea timu kukosa muunganiko na wachezaji kukosa utimamu wa mwili.

Namalizia kwa kusema , Simba ndiye bingwa wa NBC PL kwa mwaka huu.
 
Nimeona neno Pumbavu /upumbavu ,hahahahaha,dah
Ila hii mada hata mimi nimeilewa kwenye usajili Simba huwa inakua na kujiamini sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…